TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Kwa mujibu wa taarifa ya habari asubuhi hii kutoka Redio One,Dr.Mengi amefia Dubai usiku wa kuamkia leo.Mungu aiweke peponi Roho yake Amen.
 
Taarifa inatakiwa ije ikiwa na uthibitisho, pia swala la msiba kuna ndugu wengine huwa wanapresha na familia huwa inajua jins gan ya kumfikishia taarifa mlengwa, sasa akiisoma humu fasta anaweza kufa
kuna maelfu ya watu hapa, kwa hiyo watu 10 wa familia moja hawawezi zuia maelfu kupata taarifa kisa wana presha....
 
Ndio matatizo ya kuzoea kuandika habari za udaku

Mzee Mengi kafa R.I.P

Lakini cause ni nini? Hakuna kitu kinachokera kwenye habari kama pale unapoachwa ujazie mwenyewe.

Was it stroke
Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa muda mrefu
Or what exactly is the cause
Radio One na ITV wametangaza kwa kifupi sana, hawajataja yote hayo uliyoulizia

Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko Dubai..basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu itakusanywaa tuu usijalii
 
Back
Top Bottom