Samahani wakuu naomba kujua tangu maombolezo yaanze ya ndugu yetu R. A. Mengi tar 2 mei, waziri mkuu mstaafu E. Lowassa yupo wapi mbona sijamuona hata kusikia salamu zake?
Na kama alijitokeza pengine mimi ndio sijamuona au kumsikia mniwie radhi wakuu!
Edit hiyo, historia sio usiku wa kuamkia leo kamanda
Hakika tumetikiswa kwa kifo hikiTumetikiswa. Pole Mjane, pole watoto. #jasiri_wa_kweli# Katutoka
Msiba wa taifaHakika tumetikiswa kwa kifo hiki
Mzee mengii