The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Wasiwasi wa nini?Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Jibu unalo wewe kwamba kama unajiona unaongozwa n kichaa basi wewe una hali mbaya sana kiakili.Kweli mkuu Kama mtu anajitangaza mwenyewe kwamba ni kichaa na still sisi bado tuna mng'ang'ania atuongoze unadhani hapo Kuna Nini?
Sifa zenyewe ni zipi? Ziwekwe mezani kila mmoja azifahamu.Hapo ndio patamu bwashee!
Moja ni kudhaminiwa na watu 2000 katika mikoa 10, walau 2 iwe kutoka Zanzibar!Sifa zenyewe ni zipi? Ziwekwe mezani kila mmoja azifahamu.
Tz ni kubwa kuliko TL! Na kamwe haitasimama!Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Tundu Lissu vs JPM.Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Ndio mawazo yenu najua hamlaliLisu out
Kama atafaulu uteuzi!Tundu Lissu vs JPM.
patachimbika!!
Acha kubweka huku Jf, hebu jaribu kuwa chachu ya hayo unayoitakia Tanzania, ili tuone.Otherwise wewe ni mkia dobo tu.Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Slowly am seeing my country tested for the first time since i was born the first time was when idi amini dada invaded us. Am saying this because am seeing an intended ill will on it though it's a normal thing but its not going to be normal any more. I smell something fishy.Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Na hili la wagombea wenye sifa walisisitize sana maana wagombea wengine hawana ADABU kabisa.Mmoja wao ni yule anayesisitiza wananchi waingie barabarani kama atashindwa.Huyu sifa hana.Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Hahahaha sikujua kama mnamuogopa ivyo.Lisu out
Kwahiyo unamfananisha Tundu Lisu na nduli Idd Amin Dada!!Slowly am seeing my country tested for the first time since i was born the first time was when idi amini dada invaded us. Am saying this because am seeing an intended ill will on it though it's a normal thing but its not going to be normal any more. I smell something fishy.
Mgombea ni yule atakayerudisha fomu.Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form