Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Mapungufu ya kwanza kwa Tundulisu ni yeye kuwa na kesi ya uchochez Kwa kanuni za Tanzania na sheria zake Tundulisu hapaswi kua kiongozi na Atakatwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajajiandikisha kupiga kura vilevile.
 
Mapungufu ya kwanza kwa Tundulisu ni yeye kuwa na kesi ya uchochez Kwa kanuni za Tanzania na sheria zake Tundulisu hapaswi kua kiongozi na Atakatwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ana kesi za jinai saba naskia
 
Wala sio huo msitaki kupindisha maneno kesi za uchochez anazo Zaid ya Tatu na mbili kazifanya Zanzibar Pia uzur mabeberu wanajua sheria7za nch na hawawez kuingilia kwenye ili swala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Si uzianike tu ?? tuzijuwe hizo kesi za kubambikizwa au kusema ukweli ni uchochezi ?? Unaongelea Beberu lisilo mkia kutoka Chato au ?
 
Si uzianike tu ?? tuzijuwe hizo kesi za kubambikizwa au kusema ukweli ni uchochezi ?? Unaongelea Beberu lisilo mkia kutoka Chato au ?
Nan kambambikizia wakat mpaka ushaid wa audio na video upo kama Ile ya Zanzibar jamaa dah anajua kuropoka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye si mwanasheria mbobezi basi atutafsirie na hii mana anajifanyaga kuwahi kuelezea sheria inasemaje aseme na hii
 
Kwanini wampe form mgombea aliyekosa sifa? au sifa anakosa akishachukua hiyo form tu.
Kukosa sifa ni pamoja na:
1. Kukosa wadhamini 2000 katika mikoa 10

2. Kushindwa kujaza fomu vizuri

3. Kushindwa kula kiapo cha maadili mbele ya jaji kwa mujibu wa fomu namba 8A

Nk........nk!
 
Kujenga upinzani imara ni kazi kubwa inayohitaji kujitoa kuwatumikia wananchi haswa katika ngazi ya kaya na mtaa. Huko ndio kuna msingi imara na huko ndiko chama tawala kilikowekeza

Tuongee mengi tuu tukiwa na smartphone zetu lakini tukumbuke hakuna upinzani wa kweli Tanzania bali upinzani wa kimaslahi tuu ndio maana kila chama pinzani kinataka dola huku wakijua kwa style hiyo kupata ni ngumu

Chama tawala wametumia nguvu ya mfumo wao kuwafikia wananchi nyumba kwa nyumba, kuwaelimisha na kuwakumbusha kujiandikisha bila hata kutumia mikutano siasa. Wanajua kabisa kwamba wafuasi na wanachama wao wamejiandikisha na watapiga kura maana huwezi kumwambia mfuasi akupigie kura kama hakujiandikisha
 
Sifa izo apo [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Screenshot_20200810-234148.jpg
 
Hata mimi nashangaa, huu ni usaili wa kazi lazima ukidhi matakwa.

Uombe kujiunga na chuo au Uombe visa ya nchi fulani unapewa form na ada unalipa na unaambiwa hujaqualify je utalalamika kwa nini walinipa form kama siqualify?
Mbona unaweza kuchukua form ya kujiunga na chuo na unaomba chuo then wanakwambia huja qualify
Na form umelipia
Kawaida tu hyo
 
Nasisitiza Tena" Only Qualified Candidate" Kulingana na Sheria ya uchaguzi ya mwaka ................ Mgombea kutoka Chama .........amepoteza sifa. Na hivyo uteuzi wake umetenguliwa................
Halafu wanachama wake watajiunga kumchagua maembe
 
rasmi sio tetesi tena Lissu nina uhakika [emoji817] watamkata kwa kisingizio kuwa hanasifa yaleyale ya serikali za mitaa naomba niseme tu TAREHE 11/08/2020 NITACHOMA MOTO KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA,NAICHUKIA HII NCHI KWA MAMBO YANAYOFANYIKA NA SITAKI KUSIKIA KITU CHOCHOTE KUHUSU NCHI HII.
 
Kukosa sifa ni pamoja na:
1. Kukosa wadhamini 2000 katika mikoa 10

2. Kushindwa kujaza fomu vizuri

3. Kushindwa kula kiapo cha maadili mbele ya jaji kwa mujibu wa fomu namba 8A

Nk........nk!

hapo namba 3 kitawekwa kizingiti cha lazima
 
Nan kambambikizia wakat mpaka ushaid wa audio na video upo kama Ile ya Zanzibar jamaa dah anajua kuropoka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye si mwanasheria mbobezi basi atutafsirie na hii mana anajifanyaga kuwahi kuelezea sheria inasemaje aseme na hii
Ndio umeziweka hizo kesi?
 
Mfano akimkata, lisu kama lisu atafanyaje?, Ataenda mahakani kulalamika au atakimbilia kwa jirani anakohutubia kila siku au kwa mabeberu?, Au ataitisha maandamano kamw mange?

Beberu ni huyo mvuta bangi wa Chato.

Hao mnaowaita mabeberu si ndio hao mnaowadanganya kuwa Corona imekwisha ili waje kwa wingi kutalii. Baniani mbaya,,,,,,,,,
 
Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Hiyo form ni kama Tender Documents, unanunua na kwenda kujaza particulars and then NEC wanakaa kama board kuangalia kama kila aliyeomba anakidhi vigezo ambavyo vipo kisheria. Usipompa mgombea form Kwa kuhisi Hana vigezo ni sawa na kumnyima mtahiniwa Question paper kisa tuu unajua/hisi hawezi faulu mtihani.
 
Back
Top Bottom