Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Hajajiandikisha kupiga kura vilevile.Mapungufu ya kwanza kwa Tundulisu ni yeye kuwa na kesi ya uchochez Kwa kanuni za Tanzania na sheria zake Tundulisu hapaswi kua kiongozi na Atakatwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala sio huo msitaki kupindisha maneno kesi za uchochez anazo Zaid ya Tatu na mbili kazifanya Zanzibar Pia uzur mabeberu wanajua sheria7za nch na hawawez kuingilia kwenye ili swala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ni uchochezi kumwita Magufuli Dictator mbona tuko wengi tunaosema hivyo ??
Ana kesi za jinai saba naskiaMapungufu ya kwanza kwa Tundulisu ni yeye kuwa na kesi ya uchochez Kwa kanuni za Tanzania na sheria zake Tundulisu hapaswi kua kiongozi na Atakatwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala sio huo msitaki kupindisha maneno kesi za uchochez anazo Zaid ya Tatu na mbili kazifanya Zanzibar Pia uzur mabeberu wanajua sheria7za nch na hawawez kuingilia kwenye ili swala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hiyo siyo tatizo hata Dr Shein aliwahi kupigiwa kura bila yeye kuwa mpiga kura.Hajajiandikisha kupiga kura vilevile.
Nan kambambikizia wakat mpaka ushaid wa audio na video upo kama Ile ya Zanzibar jamaa dah anajua kuropoka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye si mwanasheria mbobezi basi atutafsirie na hii mana anajifanyaga kuwahi kuelezea sheria inasemaje aseme na hiiSi uzianike tu ?? tuzijuwe hizo kesi za kubambikizwa au kusema ukweli ni uchochezi ?? Unaongelea Beberu lisilo mkia kutoka Chato au ?
Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Kukosa sifa ni pamoja na:Kwanini wampe form mgombea aliyekosa sifa? au sifa anakosa akishachukua hiyo form tu.
Mbona unaweza kuchukua form ya kujiunga na chuo na unaomba chuo then wanakwambia huja qualifyHata mimi nashangaa, huu ni usaili wa kazi lazima ukidhi matakwa.
Uombe kujiunga na chuo au Uombe visa ya nchi fulani unapewa form na ada unalipa na unaambiwa hujaqualify je utalalamika kwa nini walinipa form kama siqualify?
Halafu wanachama wake watajiunga kumchagua maembeNasisitiza Tena" Only Qualified Candidate" Kulingana na Sheria ya uchaguzi ya mwaka ................ Mgombea kutoka Chama .........amepoteza sifa. Na hivyo uteuzi wake umetenguliwa................
Hayo NI matumaini yako ndugu mtazamaji hahahahqNi matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
What if huyo anayetetea akakosa sifa na kutopitishwa?Yule anayetetea kiti chake ameshafaulu!
Mfano akimkata, lisu kama lisu atafanyaje?, Ataenda mahakani kulalamika au atakimbilia kwa jirani anakohutubia kila siku au kwa mabeberu?, Au ataitisha maandamano kamw mange?Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Kukosa sifa ni pamoja na:
1. Kukosa wadhamini 2000 katika mikoa 10
2. Kushindwa kujaza fomu vizuri
3. Kushindwa kula kiapo cha maadili mbele ya jaji kwa mujibu wa fomu namba 8A
Nk........nk!
Ndio umeziweka hizo kesi?Nan kambambikizia wakat mpaka ushaid wa audio na video upo kama Ile ya Zanzibar jamaa dah anajua kuropoka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye si mwanasheria mbobezi basi atutafsirie na hii mana anajifanyaga kuwahi kuelezea sheria inasemaje aseme na hii
Mfano akimkata, lisu kama lisu atafanyaje?, Ataenda mahakani kulalamika au atakimbilia kwa jirani anakohutubia kila siku au kwa mabeberu?, Au ataitisha maandamano kamw mange?
Hiyo form ni kama Tender Documents, unanunua na kwenda kujaza particulars and then NEC wanakaa kama board kuangalia kama kila aliyeomba anakidhi vigezo ambavyo vipo kisheria. Usipompa mgombea form Kwa kuhisi Hana vigezo ni sawa na kumnyima mtahiniwa Question paper kisa tuu unajua/hisi hawezi faulu mtihani.Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form