Binafsi nimeshangaa mtu kama Mo kulia lia kwenye mitandao. Ama kweli pesa sio kila kitu. Mo ana akili za kitoto na nimefikiria bila pesa za urithi asingeweza kusimama yeye kama Yeye.
Nadhani anataka huruma ya washabiki na wapenzi wa simba, ili aweze kuwa na kuungwa mkono kisha apate upenyo zaidiBinafsi nimeshangaa mtu kama Mo kulia lia kwenye mitandao. Ama kweli pesa sio kila kitu. Mo ana akili za kitoto na nimefikiria bila pesa za urithi asingeweza kusimama yeye kama Yeye.
Mbona pale hakueleza chochote kuhusu Simba?Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Sidhani kama unanifikia kwa ELIMU ndugu!LOWASA alisema Kipaumbele cha kwanza ELIMU, cha pili ELIMU na cha tatu ELIMU.
Ndugu yangu jitahidi Usome upunguze uzumbukuku kichwani
Hahaha unasikitisha sanaKama waasisi wamepewa 1% na wanachama 10% na yeye MO(mwekezaji) 49% hizo % zingene ziko wap?
Mo hana lolote, anataka wakurugenzi mazezeta wanaomuunga mkono ili apore club for free. Nkwabi yuko pale kulinda 51% ya hisa! kimsingi ndiye anayepaswa kuwa mkurugenzi wa bodi! To hell with MO!
Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Mo aanzishe team yake binafsi. Aachane na hiyo team ya waswahili.
Mkuu kama nikweli alichomaanisha ikumbukwe kuwa hafanyi kazi na taasisi ya simba peke yake ila kila atakachosema lzma kihusishwe hukoNimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Mimi napata hisia kua huyo jamaa ni pandikizi kutoka Jangwani. Sikuwahi kumkubali tangia anachaguliwa, kwanza sijui kaibukia kutokea wapi maana kwenye watu wenye historia na Simba wala sina kumbukumbu zakeSesten Zakazaka haya pita na huku ukatae.
Sasaa inakuwaje mnahisi hivi vitu baada ya mambo kuharibika? Sababu kiukweli mambo yangekuwa mazuri hii kauli isingekuwepo Ses.Mimi napata hisia kua huyo jamaa ni pandikizi kutoka Jangwani. Sikuwahi kumkubali tangia anachaguliwa, kwanza sijui kaibukia kutokea wapi maana kwenye watu wenye historia na Simba wala sina kumbukumbu zake
Sasa hilo sakata analotaka kulitengeneza anajua anachokifanya kweli?Sasaa inakuwaje mnahisi hivi vitu baada ya mambo kuharibika? Sababu kiukweli mambo yangekuwa mazuri hii kauli isingekuwepo Ses.
Hili la kwenu Lunyasi sisi hata hatuhusiki huko Ses.Nimenusa harufu ya hujuma kutoka kqa matopeni FC. Maana Yanga pamoja na kuwabeba koote lazima mpenyeze fitna
Acha kujitapa , unaweza kua na elimu ila ukawa hujaelimikaSidhani kama unanifikia kwa ELIMU ndugu!
Kwani mtasema basi Shadeeya? Mambo yakishaharibika mnakuja kutucheka na kutuzodoaHili la kwenu Lunyasi sisi hata hatuhusiki huko Ses.