Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Binafsi nimeshangaa mtu kama Mo kulia lia kwenye mitandao. Ama kweli pesa sio kila kitu. Mo ana akili za kitoto na nimefikiria bila pesa za urithi asingeweza kusimama yeye kama Yeye.
Nadhani anataka huruma ya washabiki na wapenzi wa simba, ili aweze kuwa na kuungwa mkono kisha apate upenyo zaidi
 
[emoji23][emoji23] mnataka maendeleo ya mpira wa miguu tanzania au mnataka club ya simba
Mo hana lolote, anataka wakurugenzi mazezeta wanaomuunga mkono ili apore club for free. Nkwabi yuko pale kulinda 51% ya hisa! kimsingi ndiye anayepaswa kuwa mkurugenzi wa bodi! To hell with MO!
 
Mi nashauri MO akae pembeni awaachie Simba timu tuone Mishahara watalipaje
 
Angekuwa na uwezo huo asingeng’ang’ania Simba. Timu si uyoga kusema miezi michache inafikia ilipo Simba analijua hilo ndiyo sababu kang’ang’ana Simba.

Mo aanzishe team yake binafsi. Aachane na hiyo team ya waswahili.
 
Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Mkuu kama nikweli alichomaanisha ikumbukwe kuwa hafanyi kazi na taasisi ya simba peke yake ila kila atakachosema lzma kihusishwe huko
 
Mimi napata hisia kua huyo jamaa ni pandikizi kutoka Jangwani. Sikuwahi kumkubali tangia anachaguliwa, kwanza sijui kaibukia kutokea wapi maana kwenye watu wenye historia na Simba wala sina kumbukumbu zake
Sasaa inakuwaje mnahisi hivi vitu baada ya mambo kuharibika? Sababu kiukweli mambo yangekuwa mazuri hii kauli isingekuwepo Ses.
 
Sasaa inakuwaje mnahisi hivi vitu baada ya mambo kuharibika? Sababu kiukweli mambo yangekuwa mazuri hii kauli isingekuwepo Ses.
Sasa hilo sakata analotaka kulitengeneza anajua anachokifanya kweli?

Nimenusa harufu ya hujuma kutoka kqa matopeni FC. Maana Yanga pamoja na kuwabeba koote lazima mpenyeze fitna
 
Watanzania bhaana,yaani mpo busy kushutumu Mo kutumia mitandao kutoa maoni yake. Ni km vile Mo ni wa kwanza. Mbona hammshangai Trump ambaye kila kitu kinaanzia mtandaoni!?? Halafu watu wako busy kulaumu mtu anayetaka kuwekeza 20bl. Halafu mtu anayemuona Mo km fala hajawahi kushika hata 5ml. Nchi ngumu sana hii...billioni 20 siyo mchezo,mwacheni Mo azilinde pesa zake vyovyote awezavyo!
 
Back
Top Bottom