Arabi Nanjewa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 325
- 410
nilitegemea na leo ungemlaumu shafii kumbe dawa imeingia haswaπππππNimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Wanasemaga kuimba kupokezana Ses.ππππKwani mtasema basi Shadeeya? Mambo yakishaharibika mnakuja kutucheka na kutuzodoa
Apia kama hujamuota jana Mtani? πππNkwabi nkwabi nkwabi
Tunaweka mambo sawa muda si mrefu, tunataka mapambano ndani ya uwanja banaa, sio kuleta figisufigisu nje ya uwanja, umesikia mamiiWanasemaga kuimba kupokezana Ses.ππππ
Hahaha tutabaeleza niniApia kama hujamuota jana Mtani? πππ
Haya kila la kheri kwenu ili msimu ujao twende sawa msiwe na kisingizio. Nimesikia Ses.Tunaweka mambo sawa muda si mrefu, tunataka mapambano ndani ya uwanja banaa, sio kuleta figisufigisu nje ya uwanja,umesikia mamii
Hahaa. Hamtakosa Mtani.Hahaha tutabaeleza nini
Shadeeya mamii leo hii wa kutoa visingizio imekua ni Simba tena!? Simba hii hii machampioni wa ligi ya bara, Simba hii hii wana robo fainali ligi ya mabingwa Afrika!? Au Simba ipi unayoizungumzia?πππHaya kila la kheri kwenu ili msimu ujao twende sawa msiwe na kisingizio. Nimesikia Ses.
Ni kweliHahaa. Hamtakosa Mtani.
Mtasubiri sana nakwambia πππWanasemaga kuimba kupokezana Ses.ππππ
Kula la kheir
Hahaaa. Nimemaanisha msije pata visingizio sababu ya migogoro inayoanza sasa. Na hapa nasemea msimu ujao na si uliopita maana hizi kukuru kakara mwishowe hamtakuwa na la kufanya zaidi kujikita kwenye migogoro.Shadeeya mamii leo hii wa kutoa visingizio imekua ni Simba tena!? Simba hii hii machampioni wa ligi ya bara, Simba hii hii wana robo fainali ligi ya mabingwa Afrika!? Au Simba ipi unayoizungumzia?πππ
Imeeditiwa hiyo picha Mtani.
KUNA MAWILI KICHWANI MWAKO AMA HUELEWI HISA NI NINI AU MBUMBUMBUInaonekana hujui chochote kuhusu biashara na uwekezaji?!! Kwa kukupa taarifa kidogo ni kwamba Simbasc upande wa wanachama,wana hisa jumla 51%lakini walizo kubaliana kwa sasa kuziingiza kwenye uwekezaji ni 11%,na mgawanyo wake uko hivi :waasisi wa club wamepewa 1%wanachama wengine ni10%.mwekezaji yeye anabaki na asilimia zake 49.ndio maana unaona kwa sasa mwenyekiti wa board ni mwekezaji maana kwa sasa yeye ndo ana hisa nyingi kwa sasa.na katika biashara ya hisa ni ngumu kupora hisa kama unavyofikilia!!unaporaje kwa mfano?!! Nafikili wengi hawaelewi biashara na uwekezaji.
Pamoja na misuko suko ila mwaka huu wanalo; apo kati kati mkude,shibob, chama, ajibu, hasan dillunga uko nyuma ndipo sitaki kupazungumzia kabisaKula la kheir
Achana nae kilaza huyo... hajui chochote kuhusu mfumo wa hisa..Kama waasisi wamepewa 1% na wanachama 10% na yeye MO(mwekezaji) 49% hizo % zingene ziko wap?
Ni kweli mtani; ila hali halisi ndiyo hiyoImeeditiwa hiyo picha Mtani.
Haya basi tuungane pamoja kumlaani na kumkemea shetani ili bundi asitue Msimbazi.Hahaaa. Nimemaanisha msije pata visingizio sababu ya migogoro inayoanza sasa. Na hapa nasemea msimu ujao na si uliopita maana hizi kukuru kakara mwishowe hamtakuwa na la kufanya zaidi kujikita kwenye migogoro.
Chama limetimia hilo mkuu, si nyumbani si ki intaneshno Lunyasi anatishaaaPamoja na misuko suko ila mwaka huu wanalo; apo kati kati mkude,shibob, chama, ajibu, hasan dillunga uko nyuma ndipo sitaki kupazungumzia kabisa