Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Haya kila la kheri kwenu ili msimu ujao twende sawa msiwe na kisingizio. Nimesikia Ses.
Shadeeya mamii leo hii wa kutoa visingizio imekua ni Simba tena!? Simba hii hii machampioni wa ligi ya bara, Simba hii hii wana robo fainali ligi ya mabingwa Afrika!? Au Simba ipi unayoizungumzia?๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Hahaa. Hamtakosa Mtani.
Ni kweli
IMG_20190705_170733_129.JPG
 
Shadeeya mamii leo hii wa kutoa visingizio imekua ni Simba tena!? Simba hii hii machampioni wa ligi ya bara, Simba hii hii wana robo fainali ligi ya mabingwa Afrika!? Au Simba ipi unayoizungumzia?๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hahaaa. Nimemaanisha msije pata visingizio sababu ya migogoro inayoanza sasa. Na hapa nasemea msimu ujao na si uliopita maana hizi kukuru kakara mwishowe hamtakuwa na la kufanya zaidi kujikita kwenye migogoro.
 
Inaonekana hujui chochote kuhusu biashara na uwekezaji?!! Kwa kukupa taarifa kidogo ni kwamba Simbasc upande wa wanachama,wana hisa jumla 51%lakini walizo kubaliana kwa sasa kuziingiza kwenye uwekezaji ni 11%,na mgawanyo wake uko hivi :waasisi wa club wamepewa 1%wanachama wengine ni10%.mwekezaji yeye anabaki na asilimia zake 49.ndio maana unaona kwa sasa mwenyekiti wa board ni mwekezaji maana kwa sasa yeye ndo ana hisa nyingi kwa sasa.na katika biashara ya hisa ni ngumu kupora hisa kama unavyofikilia!!unaporaje kwa mfano?!! Nafikili wengi hawaelewi biashara na uwekezaji.
KUNA MAWILI KICHWANI MWAKO AMA HUELEWI HISA NI NINI AU MBUMBUMBU
 
Hahaaa. Nimemaanisha msije pata visingizio sababu ya migogoro inayoanza sasa. Na hapa nasemea msimu ujao na si uliopita maana hizi kukuru kakara mwishowe hamtakuwa na la kufanya zaidi kujikita kwenye migogoro.
Haya basi tuungane pamoja kumlaani na kumkemea shetani ili bundi asitue Msimbazi.

Mechi inayokuja kati yetu na nyie tuone pambano safi na sote tuiwakilishe nchi kwenye michuano ya kimataifa kwa mafanikio, au wasemaje Shadeeya?
 
Back
Top Bottom