Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hahahaaaa mtu akitaka kuzamisha chombo mnachosafiria nyie wote bora mumtose yeye kunusuru walio wengiUnamkana mwenyekiti wako? Jangwani panawanyima usingizi sana!
Mashabiki huwa wanapatikana automatic timu ikiwa inafanya vizuri.Alianzisha na akashindwa ,sababu aliyotoa ni kuwa simba na Yanga zina mtaji wa mashabiki ,yeye ndio alianzisha African Lyons
Ole wako akusikie, ataachana na Simba halafu uanze kulia na MTUMBWI FC yenuNimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
We ushawahi kuingia kwenye vikao halafu ukasikia Kilomoni atampa timu muhindi?umeshawahi kuingia kwenye vikao ukasikia Mo anataka Club for free au ndiyo Mzee Kilomoni anawajaza??
Narudia na kusisitiza tena Mo ni tapeli alianza na mashamba ya mkonge,viwanda vya serikali akaja mpaka Africa lyon akaja Singida united kote kavuruga tu akahamia Simba .wana Simba shtukeni mnaibiwa muda siyo mrefu
Hata mimi nimeshangaaa sana Tajiri kama yeye analialiaa mitandaoni. ? .kama ana maanisha si aite waandishi aeleze mbivu na mbichi.
Aache uswahili swahili.
Alishashindwa Mbagala Market na Singida United. Hazina fan base.Mo aanzishe team yake binafsi. Aachane na hiyo team ya waswahili.
Zipo au zitakuwa sokoni kwa mwenye hela zake. Hisa moja ni kwa Shs laki nne.Kama waasisi wamepewa 1% na wanachama 10% na yeye MO(mwekezaji) 49% hizo % zingene ziko wap?
Mkuu tatizo mtaji wa mashabiki ndo kila kitu mbona wangeshaanzisha!!angalia azam wanavyosuasuaMo aanzishe timu yake.. fedha za kusajilia anazo.. hizi timu kongwe apa nchini zna mamb mengi.
Kati yako na unaemwambia hajui chchte kuhusu uwekezaji nani mburula zaidi? Usinijibu kabla ya kurudia kusoma ulichoandika
Akili za tajiri ni kubwa sana, kwako huwezi kuelewa mchezo anaotaka kuufanya kwa sababu hujaelewa atakachofanyaBinafsi nimeshangaa mtu kama Mo kulia lia kwenye mitandao. Ama kweli pesa sio kila kitu. Mo ana akili za kitoto na nimefikiria bila pesa za urithi asingeweza kusimama yeye kama Yeye.
Sidhani kama unanifikia kwa ELIMU ndugu!
Ndo manaa wamemgomea wenye akili. Akili ya ujanja tu.Akili za tajiri ni kubwa sana, kwako huwezi kuelewa mchezo anaotaka kuufanya kwa sababu hujaelewa atakachofanya
tokea lini mwanayanga akaiombea mazuri simba hahahaMo hana lolote, anataka wakurugenzi mazezeta wanaomuunga mkono ili apore club for free. Nkwabi yuko pale kulinda 51% ya hisa! kimsingi ndiye anayepaswa kuwa mkurugenzi wa bodi! To hell with MO!
....ππππ.....kwa mfano wewe unazushiwa kuwa ni shoga na watu wakaanza kukuteta chini chini ili kuwa prove wrong unapita na mwanamke mzuri mnapigana mapaka ma kiss njiani.....hiyo ndio njia nzuri ya kumpiga adui bila hata kumgusa
Kwani vipi, nimefanya nini kibaya?Nkwabi nkwabi nkwabi
Hiyo ni ndoto ya mchana, haitatokea, kama vipi akaanzishe ya kwakeHahahaaaa mtu akitaka kuzamisha chombo mnachosafiria nyie wote bora mumtose yeye kunusuru walio wengi
Mkwabi akiachiwa timu yatakua yaleyale ya TFF na hadithi ya masikini jeuri
Walikataa kukubaliana na TBL matokeo yake ligi kuu imechezwa kichovu sana
Ampe nafasi mwekezaji atengeneze timu badala ya kum frustrate
Hahaaha...sio POP??MO kageuka
Methyl
Orange
Nazani walio mtoa manji yanga wanataka pia kumtoa mo simba kiaina, wanajua wanayanga wanahasira kwamba timu yao haikuwa nzuri kwa vile manji waliomtoa yanga, sasa wanataka kubalance, hivyo walionyuma ya huyo mkiti ndio hao hao, kwa hiyo mo anajaribu kuwaexpose kiaina maana akipambana kimya kimya hawa watu wataivuruga Simba kama walivyofanya kwa yanga.Punguza hasira mkuu. Ila nimemvua nyota. Analeta taharuki kwa wachezaji na mashabiki bila sababu ya maana
HahahahaHahaaha...sio POP??