Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

Unamkana mwenyekiti wako? Jangwani panawanyima usingizi sana!
Hahahaaaa mtu akitaka kuzamisha chombo mnachosafiria nyie wote bora mumtose yeye kunusuru walio wengi

Mkwabi akiachiwa timu yatakua yaleyale ya TFF na hadithi ya masikini jeuri

Walikataa kukubaliana na TBL matokeo yake ligi kuu imechezwa kichovu sana

Ampe nafasi mwekezaji atengeneze timu badala ya kum frustrate
 
Alianzisha na akashindwa ,sababu aliyotoa ni kuwa simba na Yanga zina mtaji wa mashabiki ,yeye ndio alianzisha African Lyons
Mashabiki huwa wanapatikana automatic timu ikiwa inafanya vizuri.

We anzisha timu ukianza kuzifunga timu za kariakoo utashangaa unaanza kupata mashabiki.
 
Nimemdharau sana Dewji,hata kama ndiyo kuna hujuma,reaction yake mitandaoni ni ya kitoto sana. Kiongozi aliyeiva hawezi kuleta mambo ya taasisi mitandaoni
Ole wako akusikie, ataachana na Simba halafu uanze kulia na MTUMBWI FC yenu
 
Kama matapeli wameisaidia timu hadi kufika hatua ya kuingiza timu nne champions league basi utapeli uhalalishwe mana unafaida kubwa
Narudia na kusisitiza tena Mo ni tapeli alianza na mashamba ya mkonge,viwanda vya serikali akaja mpaka Africa lyon akaja Singida united kote kavuruga tu akahamia Simba .wana Simba shtukeni mnaibiwa muda siyo mrefu
 
Alicho kifanya MO ni sawa 100% kwasababu kunawatu walianza kuzungumza kama kina shaffi wanapost hadi mtandaoni ....so ili wananchi wasimuone yeye mbaya ndomana akawa anatumia njia ya mafumbo ambayo kwa mtu usiekua mashabiki wa mpira wa bongo huwezi kumuelewa. .....kwa mfano wewe unazushiwa kuwa ni shoga na watu wakaanza kukuteta chini chini ili kuwa prove wrong unapita na mwanamke mzuri mnapigana mapaka ma kiss njiani.....hiyo ndio njia nzuri ya kumpiga adui bila hata kumgusa
Hata mimi nimeshangaaa sana Tajiri kama yeye analialiaa mitandaoni. ? .kama ana maanisha si aite waandishi aeleze mbivu na mbichi.

Aache uswahili swahili.
 
Mo aanzishe team yake binafsi. Aachane na hiyo team ya waswahili.
Alishashindwa Mbagala Market na Singida United. Hazina fan base.
Huku Simba nahisi kaingia kwa pupa kidogo. Inamgharimu.
 
Nafikili hauko sawa!!wewe ambae sio mburula nifundishe mimi unaeniita mbulula unachokijua kuhusu HISA?!! unakuja na matusi tu bila fact!!! Bila shaka ww ni product ya shule za kata..!!unapotaka ku mprove mtu wrong njoo na fact with data,sio kukurupuka na mitusi kama mlevi.kumbafu
Kati yako na unaemwambia hajui chchte kuhusu uwekezaji nani mburula zaidi? Usinijibu kabla ya kurudia kusoma ulichoandika
 
Binafsi nimeshangaa mtu kama Mo kulia lia kwenye mitandao. Ama kweli pesa sio kila kitu. Mo ana akili za kitoto na nimefikiria bila pesa za urithi asingeweza kusimama yeye kama Yeye.
Akili za tajiri ni kubwa sana, kwako huwezi kuelewa mchezo anaotaka kuufanya kwa sababu hujaelewa atakachofanya
 
Mo hana lolote, anataka wakurugenzi mazezeta wanaomuunga mkono ili apore club for free. Nkwabi yuko pale kulinda 51% ya hisa! kimsingi ndiye anayepaswa kuwa mkurugenzi wa bodi! To hell with MO!
tokea lini mwanayanga akaiombea mazuri simba hahaha

 
kwa mfano wewe unazushiwa kuwa ni shoga na watu wakaanza kukuteta chini chini ili kuwa prove wrong unapita na mwanamke mzuri mnapigana mapaka ma kiss njiani.....hiyo ndio njia nzuri ya kumpiga adui bila hata kumgusa
....😂😂😂😂.....
 
Hahahaaaa mtu akitaka kuzamisha chombo mnachosafiria nyie wote bora mumtose yeye kunusuru walio wengi

Mkwabi akiachiwa timu yatakua yaleyale ya TFF na hadithi ya masikini jeuri

Walikataa kukubaliana na TBL matokeo yake ligi kuu imechezwa kichovu sana

Ampe nafasi mwekezaji atengeneze timu badala ya kum frustrate
Hiyo ni ndoto ya mchana, haitatokea, kama vipi akaanzishe ya kwake
 
Punguza hasira mkuu. Ila nimemvua nyota. Analeta taharuki kwa wachezaji na mashabiki bila sababu ya maana
Nazani walio mtoa manji yanga wanataka pia kumtoa mo simba kiaina, wanajua wanayanga wanahasira kwamba timu yao haikuwa nzuri kwa vile manji waliomtoa yanga, sasa wanataka kubalance, hivyo walionyuma ya huyo mkiti ndio hao hao, kwa hiyo mo anajaribu kuwaexpose kiaina maana akipambana kimya kimya hawa watu wataivuruga Simba kama walivyofanya kwa yanga.
 
Back
Top Bottom