Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hahahaaaa mtu akitaka kuzamisha chombo mnachosafiria nyie wote bora mumtose yeye kunusuru walio wengiUnamkana mwenyekiti wako? Jangwani panawanyima usingizi sana!
Mkwabi akiachiwa timu yatakua yaleyale ya TFF na hadithi ya masikini jeuri
Walikataa kukubaliana na TBL matokeo yake ligi kuu imechezwa kichovu sana
Ampe nafasi mwekezaji atengeneze timu badala ya kum frustrate