Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala.

Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
 
Hamna maajabu yote yale yale ya kale.
 
Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala.

Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
Yaani ninapoona mtu mzima,bilashaka msomi anadanganywa huwa namdharau sana.

Nimekuita msomi si kua labda umesoma,hapana,ni kwakua umesoma huko ulikosoma au kusikia na kuweza kiandika hapa.

Yaani wewe unaamini kuna usajili utakaofanyika dirisha dogo utakaotisha!?
Simba tayari inawachezaji 12 wanaohitajika kikanuni!. Huo usajili ni upi!?
Wanamuacha nani ili wamsajili nani!?
Unadanganywa kuna visiki vitatoka mahali ili kwenda Simba,hao wenye hivyo visiki hawajitambui!?

Yaani mnaburuzwa tu. Vi propaganda vya kipumbavu mnavileta hapa kwa watu wanaofikiri sawasawa!?

Acha utoto.
 
Mashabiki wa Makolo wanahitaji matibabu ya Usonji
Aucho tayari ni mwana msimbazi chukua haya maneno yangu. Nadhani hujawahi kuniona nachangia kwenye habari za sport ila hili lipo wazi.

Aucho ana mkataba wa miezi 6 na Yanga hivyo tayari yupo huru kusajiliwa na club yoyote.Tayari ameshafanya mazungumzo ya awali na timu jieani.
 
Yaani ninapoona mtu mzima,bilashaka msomi anadanganywa huwa namdharau sana.

Nimekuita msomi si kua labda umesoma,hapana,ni kwakua umesoma huko ulikosoma au kusikia na kuweza kiandika hapa.

Yaani wewe unaamini kuna usajili utakaofanyika dirisha dogo utakaotisha!?
Simba tayari inawachezaji 12 wanaohitajika kikanuni!. Huo usajili ni upi!?
Wanamuacha nani ili wamsajili nani!?
Unadanganywa kuna visiki vitatoka mahali ili kwenda Simba,hao wenye hivyo visiki hawajitambui!?

Yaani mnaburuzwa tu. Vi propaganda vya kipumbavu mnavileta hapa kwa watu wanaofikiri sawasawa!?

Acha utoto.
Mkuu Aucho ni mwana msimbazi kwenye dirisha hili dogo.
 
Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala.

Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
Mnatia huruma,timu hamna,pesa hamna basi mnatembelea kiki tu nowdays,asa pesa ya kumsajili Aucho mnaitoa wapi?
 
Kwa lugha nyingine simba wamekubali kuwa wamesajiri magalasa ila dirisha dogo watasajiri wazuri. Waliosajiri magalasa ndio hao hao watakaosajiri wachezaji wengine. Nikajua Kamba za Januari tu ndizo zinazopiga pesa kumbe hadi mbugani wapo
 
Back
Top Bottom