Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

Wasamehe bure awajui wanachokiongea, wamejazana ujinga na siku zote mwehu anapokimbia na nguo zako usimfukuze wewe ndo utaonekana ni mwehu, acha waendelee kubwata
 
Kwa hiyo nyinyi tu ndio mna haki ya kuanzisha tetesi za kuwasajili wachezaji wenye uhusiano na simba? Siku ya wananchi mlisema Miqssoine atakuwa suprise, siku za nyuma na sasa mshasema Chama atatua hapo utopoloni, lakini wanamsimbazi wakisema mchezaji wenu tegemeo atatua msimbazi mnaanza kulia lia. Tulia utopolo wacha kulia lia mpira ni biashara na chochote kinaweza kutokea.
 
Umafia tu wala akuna shida ya wachezaji pale lunyasi.
Simba itakuwa na wachezaji 50 sasa! Mana kila mchezaji anatakiwa Simba, daah! Wakati wenzenu wanasajili wachezaji nyie mnasjili vitoto!
 
Kwakwel makolo mna usonji uliopitiliza na kiongozi wenu anayezidi kuvuruga akili zenu zilivovurugika ni huyu chizi wenu KEROZENE .
 

Wewe mzima kiakili kweli ?

 
Tulihakikishiwa hivi hivi tena na Mchezaji, Injinia Hersi Said na Makamu Mwenyekiti wenu Fredrick Mwakalebela kuwa Bernard Morrison ni Mali ya Yanga SC ( Mazuzu FC ) je, leo yuko wapi?
Utopolo unawasumbua.

Huyo Aucho hsna namba ya kucheza pale Simba. Afadhali Chama harudi aje aokoe jahazi na sio hao vilaza
 
Mpira wa bongo utopolo mtupu...

Yaani timu zinasajili kila dirisha la usajili...sasa sijui timu zinajengwa muda gani!!!
 
Sisi tukichukua wachezaji toka Utopolo wakija tunawaweka benchi.

Nikitafakari sijawahi kuona mchezaji toka Utopolo akaja Simba akacheza kwa ufanisi ni hakuna.
 
Sisi tukichukua wachezaji toka Utopolo wakija tunawaweka benchi.

Nikitafakari sijawahi kuona mchezaji toka Utopolo akaja Simba akacheza kwa ufanisi ni hakuna.
Tunafanya kama Bayern Munich[emoji16]
 
Msiingize mada ya Aucho ndugu zangu,Aucho tayari ni mchezaji halali wa Simba.kwasasa tujadili kuhusu umafia wa kuwanyakua Feitoto na Yanick Bangala Litombo.
Feisal atafute wakala mzuri aende kucheza soka nje ya nchi au hata nje ya Africa ikiwezekana kama sio Ulaya magharibi basi iwe Uturuki.
 
Thaddeo Lwanga ameshakuwa garasa?

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…