Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

Feisal atafute wakala mzuri aende kucheza soka nje ya nchi au hata nje ya Africa ikiwezekana kama sio Ulaya magharibi basi iwe Uturuki.
Wewe unamsemea ila yeye hana izo fikra pengine,ulaya miaka 17/21 Fei atazeekea bongo nyoso asiposhtuka
 
Huwa tunawasubiri nyie Mazuzu ( Yanga SC ) mtusajilie kisha Sisi wenye Pesa tuje Kuchukua tu Kiulaini kama tulivyofanya kwa Wakili Msomi Bernard Morrison.
Na kamati ya usajili wana makamba tu january. Tutawapongeza wakifanya vizuri na tutawasema wakifanya vizuri. Usajiri wa Simba umevurunda na ndio maana mechi ambayo new signed players hawajacheza Simba ameshinda 3
 
Mnakalia ujinga tu na ushabiki wa kisenge.Hamna akili nyote.
 
[emoji23][emoji23]
 
Kwanza huyo Mangngu babu yake aliacha historia mbaya sana Tanzania
 
Yaani mnaburuzwa tu. Vi propaganda vya kipumbavu mnavileta hapa kwa watu wanaofikiri sawasawa!?

Acha utoto.

Kama kuna watu wanaongoza kwa kuburuzwa basi ni Mashabiki wa Yanga,na mfano halisi ni swala la kesi ya Morrison.Sote tunajua mwisho wake umekuwaje[emoji3][emoji3]
 
Akipata wakala mzuri anachomoka.
Wakati mwingine shida sio wakala shida inakua kwa wachezaji wenyewe wa kibongo,akishachezea Simba au Yanga hapo kwisha keshatimiza malengo,hata akipewa mchongo wa nje anakubali kujificha ili asiende.
 
Mtamchukua MESS NA CR7 Na LEWANDOSK maaana hao ndio wachezaji dunia itasimama ila upuuuuzi mwingine hakjna kitakacho badirika acheni mwembwe
 
Msiingize mada ya Aucho ndugu zangu,Aucho tayari ni mchezaji halali wa Simba.kwasasa tujadili kuhusu umafia wa kuwanyakua Feitoto na Yanick Bangala Litombo.
Wataongea wote lakini wewe ungekaa kimya kwanza. Ulisema pale Yanga hakuna mchezaji wa kupata Namba Simba, hao unaowataja wako Azam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…