Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Kwahiyo unamshauri apindishe matokeo. HapatatoshaLeo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.
Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
Kama wanapenda amani ni vema waachie madaraka bila vurugu. Watanzania wameshaamua. Wameschoshwa.Ninyi Serikali ya WATEKA NYARA, Kubambikia watu kesi zisizo na dhamana, Kutesa na kushambulia wakosoaji kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA mjiandae tu kukabidhi Ikulu kwa amani. Vinginevyo hali itakua mbaya sana sana sana.
Anakabiliwa kisisa?? Leo umekubali kuwa TL ni mpinzani wa Magufuli?? Mlisema Magu hana mpinzani vipi tena?? Mambo yanaendelea kubadilika badilika mpka siku ya uchaguz kitaleweka.Looh Ha Ha Ha πππ
Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....
TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....
Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....
Hawa ni Mtaji USIODODA.....
Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Walisema...Mimi Sikusema,kwani Kuna Mtu Anayebisha kuwa CHADEMA Si Chama kikuu Cha upinzani?!!Anakabiliwa kisisa?? Leo umekubali kuwa TL ni mpinzani wa Magufuli?? Mlisema Magu hana mpinzani vipi tena?? Mambo yanaendelea kubadilika badilika mpka siku ya uchaguz kitaleweka.
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.
Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
Wanachama milioni 17?Looh Ha Ha Ha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....
TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....
Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....
Hawa ni Mtaji USIODODA.....
Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Mimi ni mmoja kati ya hao wanachama wa CCM. Ila kamwe hatuwezi kuendelea kuwachagua CCM milele. Wanatuona kama mtaji wao kisiasa. Mimi na familia yangu tumeamua kura ni kwa LISSU. Ashinde asishinde ila tutamchagua kuongeza kuraLooh Ha Ha Ha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....
TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....
Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....
Hawa ni Mtaji USIODODA.....
Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Wanachama m17?Looh Ha Ha Ha πππ
Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....
TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....
Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....
Hawa ni Mtaji USIODODA.....
Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Looh Ha Ha Ha πππ

Wakati akiwa katika peak ya kupendwa alipata kura milioni 8 tu! Leo baada ya kutesa watu kwa maelfu, kuua watu lukuki, kutumbua watu kwa uonevu, kutesa watu kwa upendeleo, kukandamiza vyombo vya habari ndio utegemee apate kura milioni 17 hahahaha....! Haitatokea Duniani. This time atapata milioni tatu tu !Walisema...Mimi Sikusema,kwani Kuna Mtu Anayebisha kuwa CHADEMA Si Chama kikuu Cha upinzani?!!
Km Sivyo,Mgombea Wake Wa Urais Si TAL?!!
CCM Haiogopi Na Haijuti Kupambana Kisiasa na TAL...
Kampeni Ya Kisayansi Imefana na TUKIELEKEA DURU lifuatalo Kwa Kujiamini na wale WANACHAMA MILIONI 17 Nchi Nzima.....
Muda UTAONGEA!!
Hivi hao wanachama wa Ccm million 17 ndio munajumlisha na vile vitoto vinavyojaa kwenye mikutano yenu?Kama nihivyo basi munabakiwa na wanachama kama 1.7 million wenye uhalali wakupiga kura.Looh Ha Ha Ha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....
TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....
Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....
Hawa ni Mtaji USIODODA.....
Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Hivi hao wanachama mil.17 ni pamoja na chipukizi au?Looh Ha Ha Ha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....
TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....
Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....
Hawa ni Mtaji USIODODA.....
Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Labda kama mahesabu na kina Nyerere, karume, Kawawa, mkapa, Kinjeketile nkLooh Ha Ha Ha πππ
Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....
TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....
Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....
Hawa ni Mtaji USIODODA.....
Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Lissu ni mwepesi tu kwa wenye maarifa na elimu kubwa.Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.
Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
HahahahaaaaNaunga mkono hoja