Uchaguzi 2020 Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi anastahili kulaumiwa katika hili, tulimshauri sana amkate Lissu, yeye akaona hana madhara

Mpaka October ifike ccm watakuwa wamenyooka.
 
Wanachama milioni 17?
Hao ni wanachama au mnahesabu majani ya miti?
Kwa taarifa yako,daftari la wanachama hai wa mbogamboga ni milioni 4.8.
Hadaa toka makada wa chama kile ni vitu vya kawaida ili wajijengee uhalali wa mambo yao!! Ikiwa wana wanachama 17m je wote wanawapenda wagombea wao na hakuna matabaka? Je jumla ya waliojiandikisha daftari la kura ni wangapi? Je ikiwa wana hilo "rundo" la wanachama iweje watake kupita bila kupingwa?
 
Propaganda
 
Ndio maana tulimwambia mwenyekiti atukatie mkia Huyo Lissu,atuachie akina Lioumba ,Rungwe na wengineo.Sisi wenyew tuliyajua hayo.Kura tunazotegemea za vijijini tu mi
 
milion tatu zitoke wap? labda za wizi. huyo hata wana ccm wanaojielewa hawampi kura.
 
Hakunaga mwana CCM snitch na pumbavu pita hivi .......chadema mtapata tabu sana safari hii.
 
Turn out ya voters uchaguzi huu kama watafika hata millioni kumi sidhani.
 
Kuteka wagombea na kuwaengua ndiyo science unayoizungumzia siyo ?
 
Wewe na wenzio wenye mawazo ya aina hiyo mnastahili kulaaniwa. Tena asiwepo wa kuiondoa kwenu.
 
Kwanini utoe ushauri kwamba Tundu akatwe na tume? Kila mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwa mujibu wa katiba, kwahiyo kila mtu afanye kampeni tarehe 28 October wananchi tutamua nani anatufaa
 
Sofar lisu hajafankiwa kumchallenge Magufuli kabisa.

Magufuli's record is impeachable.
 
Kuteka wagombea na kuwaengua ndiyo science unayoizungumzia siyo ?
na kuwaambia tume ya uchaguzi wasiwatangaze wapinzani hata kama watashinda.
ngoja mwaka huu wafanya huo upuuz halafu wasubirie wapinzani wamwachie Mungu. mwaka huu ni kukiwasha tu ndani na nje.
 
too little too late. tulilikoroga hatuna budi bali kulinywa tu comrade.

hapa viunga vya Lumumba kila mtu anapambana na hali yake aisee!
 

Kumbe nyie washauri wake mlimshauri alafu akakataa ushauri wenu? Yawezekana mmemkera sana kwa maamuzi mnayompelekea ili ayafanye.
Ona sasa anavyomwadhibu aliyemweka mpaka imebidi apumzike hasije akaanguka kwenye majukwaa.
 
na kuwaambia tume ya uchaguzi wasiwatangaze wapinzani hata kama watashinda.
ngoja mwaka huu wafanya huo upuuz halafu wasubirie wapinzani wamwachie Mungu. mwaka huu ni kukiwasha tu ndani na nje.
Hii tume ya uchaguzi imejaa wapuuzi wengi sana.
 
Delete ccm Oct 28
 
Kuna kila dalili waliokuwa wanachama wa CCM ambao wako segerea,walikuwa wafanyabiashara,watumishi walitia Nia ,wanaccm wanaonja Manisha magumu,waliokosa ajira ni wafuasi wa TL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…