P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,487 Reaction score 13,611 Sep 12, 2020 #41 PTER said: Angekuwa mwepesi mngefungia vyombo vya habari visitangaze kampeni zake ? Angekuwa mwepesi mngeitisha kamati kuu yote kwenda kwenye kampeni ? Click to expand... Yeye kama yeye ni mwepesi lakini anatembea na mtego wa ajenda za nje zilizojificha. Ndio maana mapambano yanakuwa ya kina kwani hupambani na mtu mmoja anayeonekana ikaishia hapo, kuna wenye agenda Chafu nyuma ya uwepo wake.
PTER said: Angekuwa mwepesi mngefungia vyombo vya habari visitangaze kampeni zake ? Angekuwa mwepesi mngeitisha kamati kuu yote kwenda kwenye kampeni ? Click to expand... Yeye kama yeye ni mwepesi lakini anatembea na mtego wa ajenda za nje zilizojificha. Ndio maana mapambano yanakuwa ya kina kwani hupambani na mtu mmoja anayeonekana ikaishia hapo, kuna wenye agenda Chafu nyuma ya uwepo wake.
KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,167 Reaction score 4,374 Sep 12, 2020 #42 Kama ilishindikana kweli kumnunua Lisu ili aunge juhudi za Magu, ndio basi tena hakuna namna zaidi ya kumuacha achukue nchi. Sera zake kiukweli zinamashiko, kama ni barabara na miundombinu hizo kazi zitakamilishwa na waziri wa ujenzi wa awamu ijayo.
Kama ilishindikana kweli kumnunua Lisu ili aunge juhudi za Magu, ndio basi tena hakuna namna zaidi ya kumuacha achukue nchi. Sera zake kiukweli zinamashiko, kama ni barabara na miundombinu hizo kazi zitakamilishwa na waziri wa ujenzi wa awamu ijayo.
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,237 Reaction score 31,811 Sep 12, 2020 #43 Phillipo Bukililo said: Yeye kama yeye ni mwepesi lakini anatembea na mtego wa ajenda za nje zilizojificha. Ndio maana mapambano yanakuwa ya kina kwani hupambani na mtu mmoja anayeonekana ikaishia hapo, kuna wenye agenda Chafu nyuma ya uwepo wake. Click to expand... Ajenda za nje zipi ?
Phillipo Bukililo said: Yeye kama yeye ni mwepesi lakini anatembea na mtego wa ajenda za nje zilizojificha. Ndio maana mapambano yanakuwa ya kina kwani hupambani na mtu mmoja anayeonekana ikaishia hapo, kuna wenye agenda Chafu nyuma ya uwepo wake. Click to expand... Ajenda za nje zipi ?