LGE2024 Mwenyekiti Umoja wa Vijana (CCM) Geita, Manjale: Uchaguzi huu tunakwenda kuzika Upinzani

LGE2024 Mwenyekiti Umoja wa Vijana (CCM) Geita, Manjale: Uchaguzi huu tunakwenda kuzika Upinzani

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani.

Kauli hiyo ameitoa wakati akiwanadi Viongozi wagombea ngazi ya Mwenyekiti wa Mtaa na Vitongoji katika kata ya Kanyala na Kasamwa mjini Geita ambapo amesema chama kimejipanga kushinda Viti vyote vya Ugombea huku akiwataka Vijana kushiriki katika zoezi hilo ambalo linatarajiwa kuamuliwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom