Mwenyekiti UVCCM asema watawashughulikia wanaokejeli viongozi wao

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1670731538351.png

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo.

Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na kuwaagiza viongozi wote kuanzia ngazi za chini hadi taifa kushughulika na watu aliodai wanakejeli viongozi hao

"Viongozi mliochaguliwa, lazima tujue kwamba sisi ndio askari namba moja kuwalinda viongozi wetu wa taifa, hatutakubali kuona anajitokeza mtu yeyote anawakejeli viongozi wetu.

"Na hili niliseme wazi wenyeviti wa mikoa nawaagiza hakikisha hawa watu wanashughulikiwa, msipowashughulikia mimi nitawashughulikia ninyi," amesema.

Mbali na hilo amewataka viongozi hao ngazi za chini kutengeneza uchumi wa Jumuiya badala ya kuendelea kuwa tegemezi kwa ngazi zingine.

Naye Makamu Mwenyekiti , Rehema Sombi amesema wanapaswa kwenda na kasi ya Serikali huku wakizitumia fursa mbalimbali.

Awali Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kenani Kihongosi amesema kazi hiyo ya kuongoza Jumuiya hiyo ni ngumu lakini itakuwa nyepesi iwapo watakuwa na ushirikiano.

MWANANCHI
 
Mnachukua sheria mkononi?

---
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo.

Ametoa kauli hiyo leo jioni Desemba 10, 2022 katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na kuwaagiza viongozi wote kuanzia ngazi za chini hadi taifa kushughulika na watu aliodai wanakejeli viongozi hao

"Viongozi mliochaguliwa, lazima tujue kwamba sisi ndio askari namba moja kuwalinda viongozi wetu wa taifa, hatutakubali kuona anajitokeza mtu yeyote anawakejeli viongozi wetu.

"Na hili niliseme wazi wenyeviti wa mikoa nawaagiza hakikisha hawa watu wanashughulikiwa, msipowashughulikia mimi nitawashughulikia ninyi," amesema.

Mbali na hilo amewataka viongozi hao ngazi za chini kutengeneza uchumi wa Jumuiya badala ya kuendelea kuwa tegemezi kwa ngazi zingine.

Naye Makamu Mwenyekiti , Rehema Sombi amesema wanapaswa kwenda na kasi ya Serikali huku wakizitumia fursa mbalimbali.

Awali Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kenani Kihongosi amesema kazi hiyo ya kuongoza Jumuiya hiyo ni ngumu lakini itakuwa nyepesi iwapo watakuwa na ushirikiano.

Chanzo: Mwananchi
 
View attachment 2442512
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo.

Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na kuwaagiza viongozi wote kuanzia ngazi za chini hadi taifa kushughulika na watu aliodai wanakejeli viongozi hao

"Viongozi mliochaguliwa, lazima tujue kwamba sisi ndio askari namba moja kuwalinda viongozi wetu wa taifa, hatutakubali kuona anajitokeza mtu yeyote anawakejeli viongozi wetu.

"Na hili niliseme wazi wenyeviti wa mikoa nawaagiza hakikisha hawa watu wanashughulikiwa, msipowashughulikia mimi nitawashughulikia ninyi," amesema.

Mbali na hilo amewataka viongozi hao ngazi za chini kutengeneza uchumi wa Jumuiya badala ya kuendelea kuwa tegemezi kwa ngazi zingine.

Naye Makamu Mwenyekiti , Rehema Sombi amesema wanapaswa kwenda na kasi ya Serikali huku wakizitumia fursa mbalimbali.

Awali Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kenani Kihongosi amesema kazi hiyo ya kuongoza Jumuiya hiyo ni ngumu lakini itakuwa nyepesi iwapo watakuwa na ushirikiano.

MWANANCHI
Mwambie anacheza na Salphurick acid kitakacho mpata asisahau kuja kutusimulia
 
Kawaida kama jina lake...majina huumba...
 
Yaani hako kambuzi kalikojaa minyoo kichwani ndiyo ka kuwatishia nyau, watu wazima na akili zao!!
 
Back
Top Bottom