Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha?
Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Bernard Masalu, amesema kuwa:
"Niwakumbushe ndugu zangu hakuna siku nchi hii tutamaliza shida zote maana kila siku tunazidi kuongezeka lakini Serikali ya CCM inalitambua hilo na ndio maana tunafanya kazi kubwa kuhakikisha kwamba tunapata maendeleo"