Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

Huyu nikimkuta ANAGONGWA na mimi naugangana na wagongaji.....Tunamgonga sana.....kwa hoja
 
Wewe uko kwenye moto upi hapo? Nalikunyoosha kweli kweli na anaendelea kukunyoosha mpaka sasa hivi
Hahahahaahah mimi nakula beer na kitimoto kwa raha zangu jiwe akiwa anateseka jehanam kwa madhambi ya kunajisi taifa na ukatili wake
 
CCM kama ni chama makini huyu dogo hapaswi kuwepo katika hiyo nafasi ifikapo kesho asubuhi. Kwa tafsiri yangu mimi, dogo amemdharau hata mweenyekiti wake ambae ameonyesha wazi kuguswa na suala hili.
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

20240910_122627.jpg
 
CCM ni shetani. Ameyakusanya mauaji yote ikayapatia vyeo ndani ya CCM. Angalia aina ya vijana waliopo CCM, wengi wao ni mashetani. CCM haitaki watu wema, ndiyo maana haiwapi vyeo vijana wema isipokuwa yale makatili na mauaji.
Ahaaaaaaaa kumbe ndo maana ya kina "ole yabasa" dogo mkatili sana yule,na Kuna sku atazawadiwa ukuu wa wilaya Tena maana Babake naye yupo kweny uongoz wa jahazi letu
 
Hahahahaahah mimi nakula beer na kitimoto kwa raha zangu jiwe akiwa anateseka jehanam kwa madhambi ya kunajisi taifa na ukatili wake
Ulishafika huko Jehanam? Au ni sehemu ya kufikirika kwa dini yako ya kizungu!?
 
Mkuu Pascal naheshimu sana mabandiko yako, ila ningependa utoke nje ya vazi la political ideology ili uweze kutamka waziwazi kuwa, CCM enough is enough hao ambao hata wamarekani wamewazuia kuingia kwa ajili ya kukiuka haki ya kuishi karma ifanye kazi yake.

Hawa wanaowazushia wenzao kesi kama ya uhaini vipi karma iwape vyeo zaidi ya kuliongoza jeshi la polisi ambalo ni watuhumiwa wakubwa. Vipi karma haifanyi kazi kwao? Kama haifanyi kazi nategemea walau siku moja nikusome ukatamka wazi kuwa nyie CCM karma itawakuta!

Au karma na waovu walioko madarakani CCM wanalundana?
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Huyu Bwana mdogo unategemea aseme nini kwani aliyetekwa ni mdogo wake au baba yake au mama yake,wanaotekwa hawausiani nae kumbe ni halali yao kutekwa.Watanzania tukumbuke hao vijana ndio watatuongoza kesho kama hatutachukua hatua za makusudi kuiondoa CCM kwa nguvu madarakani ili tuunde upya Tanzania yenye upendo wa kweli kwa watu wote kumbuka, CCM ya MWALIMU NYERERE SIO HII.HII NI YA WAHUNI NA MAJAMBAZI na wauaji na watekaji kama hatuamini tuendelee kukaa hivihivi tutakiona cha mtema kuni.
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

UVCCM ndio walisema watu wakitekwa na kupotezwa polisi wasiwatafute wao ndio watakuwa wamefanya kazi hiyo"walishajitambulisha hivyo".
 
Back
Top Bottom