Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

CCM inaongoza vichaa hakika. Wanaweza kusema lolote popote kwa yeyote bila kujali athari za ubwatukaji wao
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Sasa roho zao zimefurahi nafsi zao zimeridhika kukuona ukiwa mwili mtupu usio na pumzi,Hujawahi kuwatendea baya lolote,kosa lako ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Tutakutana tena Mbinguni Kamanda.
 
Itungwe sheria kuzuia Wazanzibar kuwa viongozi bara au taasisi zinahusu Tanganyika hawa jamaa kumbe ni wakatili sana ndiyo maana huwa wanauana kila uchaguzi
 
Awamu iliyopita Mpina aliumiza Sana watu kule Kanda ya ziwa, leo hii Mpina Ni zaidi ya mwananchi wa kawaida na bado Yuko mule mule CCM.
 
Bila kumtaja Jiwe mdomo wako utabaki unawasha na kunuka kama shimo la choo!!
Kamfufue au kufa kazikwe karibu nae kama kimekuuma mtoto wa kike, na bado hadi ujinyonge dadadeki,
 
Bila kumtaja Jiwe mdomo wako utabaki unawasha na kunuka kama shimo la choo!!
Tuliza mshono wakati anateka na kuua watu si ulikuwa unachekelea sasa kesha kufa na huwezi kumfufua
 
Back
Top Bottom