Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Akili ni mali
 
Nimejifunza kiwa makini na kauli ya mchawi kuwahi kufika msibani.

Kuna namna wanajua who is behind of these issues

USSR

Ulitakiwa kuuliza hao wanaosema wametekwa au wamekufa Wana ukaribu gani na hao chadema?

Aliekufa ni msaidizi wa katibu mkuu ulidhania chadema wasingejua kuwa ametekwa na amekufa?
 
Nimejifunza kiwa makini na kauli ya mchawi kuwahi kufika msibani.

Kuna namna wanajua who is behind of these issues

USSR
Kwa hiyo siku USSR akitekwa halafu JF wakawa wakwanza kusema USSR ametekwa, halafu mwili wa USSR ukapatikana na JF wakawa wa kwanza kutoa taarifa, hivyo JF watakuwa wahusika?

JF tuna watu wa ajabu mnoo.
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Ngoja afe siku moja ndo atajua umauti unavyo uma, tena bora wa ungojwa vipi ule wa kutekwa
 
CCM ni takataka asee
CCM ni shetani. Ameyakusanya mauaji yote ikayapatia vyeo ndani ya CCM. Angalia aina ya vijana waliopo CCM, wengi wao ni mashetani. CCM haitaki watu wema, ndiyo maana haiwapi vyeo vijana wema isipokuwa yale makatili na mauaji.
 
Inasikitisha sana ,siasa inaondoa utu wa mtu.

Pale mwili ulipotupwa ni karibu na MAJENGO YA WASOMALI -Abandoned Houses.
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Msiba usikie tu kwa wengine ila omba usikukute

Haijalishi imetokea katika mazingira gani hata kama mtu amejitoa uhai wake mwenyewe, maumivu huwa wanayapata wale waliobakia wakimuwazia ndugu yao

Hivyo kwa namna yoyote ile usidhihaki msiba, ni bora ukae kimya kuliko kutoa matamshi ambayo yanazidi kutia watu hasira

Kwa hili Kawaida hajatenda vyema, ni vyema angekaa kimya tu
 
Mzenjibaa time yao, anaweza sema chochote
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Hawa tunawaendekeza, ni kuchoma mkuki makalioni hadi wawe na utu
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Vijana wengi wa CCM ni Wapumbavu. Hutamkuta Lukas anatia neno kwenye thread kama hizi. Akili ya UCHAWA CHAWA.

Yaani hata kama ni Chadema wanaojifanya wenyewe, serikali na vyombo vyake viko wapi kuzuia huo uharamia.
 
Watu wanapakua kisamvu cha kopo 😀
Ukiwa na akili timamu na una hofu ya Muumba huwezi kuwa kiongozi wa CCM na ukawa na amani.
Angalia mambo ya aliyekuwa DC wa hai enzi za jiwe ungetarajia kiongozi mwenye akili kumteua na kumlinda?

Si ajabu ndio njia zao za kuteuliwa u DC
 
Back
Top Bottom