mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 238
- 570
Ametekwa hadharani mbele ya macho ya watu,
Mwili wake uneokotwa hadharani. Labda utuambie ulipita muda gani toka atekwe mpaka chadema kutoa taarifa.
Na toka mwili wake kupatikana hadi chadema kutoa taarifa.