Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
WATENGENEZE YA KWAO NDO WAFUNGIE, HAJUI KWAMBA WATU WAMEJIAJIRI KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII?Kichwa Cha thread ndio utashi wa Mwenyekiti wa UVCCM Nyamagana kupitia ukurasa wake wa X
Yaani anatangaza Kufungia X kupitia ukurasa wake wa X 😂😂
Ila nimemwelewa ukishafungia X hutaacha itaendelea Kufungia Mitandao mingine yaani ni Sawa na kula Nyama ya mtu 🐼
Ni shling ngapi za kodi nchi inakusanya kupitia mitandao ya kijamii?
hawa vijana wa hovyo wao wanaangalia kura na kula tuuuuuuuu baaasi