Pre GE2025 Mwenyekiti UWT Taifa: Lissu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
 
Alaaa Tanzania , hususan Ndani ya CCM Kuna tatizo kubwa sana la kukosekana Kwa watu wenye Uwezo wa kujibu Hoja Kwa Hoja.

Wengi wa Wana CCM Hoja zao ni

-Amani ni tunu yetu ,inaletwa na CCM.( Unajiuliza Kwan Upinzan hawawez kuileta Amani)

-Upinzan wataleta ushoga ( unajiuliza ni Lini CCM walipinga ushoga waziwazi ).

Kwa hoja hizo , CCM uendelee kutegemea Jamii ya watu wajinga, wasokua na Elimu , wa Vijijin, Wazee ambao hawakwenda shule ila wanashinda Kwenye vilabu vya pombe.
 
Haya majangili ya mali za umma yatatoa wapi hoja? yenyewe ni kusifia yaibe basi
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Wakwibaji lazima waone hofu na shida kuu,na lazima wabaki na mahangaiko mashaka na taabu kama zote.
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Lissu shikilia hapo hapooo!
 
Siasa za majukwaani kwa CCM ili hali wako madarakani zaidi ya miaka 50 ni kujichafua. JPM alifanikisha kutoka katika siasa za majukwaani mpaka siasa za site. Watanzania wanahitaji ukamilifu wa matamko na miradi ya maendeleo. Hizi mboyoyo za majukwaani wawaachie CDM kwakuwa wapo ili kufichua matakataka ya baadhi ya wana-CCM. Nategemea CCM kwa miezi hii iliyobaki wafichue kwa kuueleza UMMA wamefanya nini kulingana na Mapato ya serikali (misaada, kodi & mikopo).
 
Lisu shikiria hapo hapo. Mbwa Hawa wanatakiwa wawe chama Cha upinzani.
 
CCM bado ina siasa za kishamba sana tatizo kubwa ni kushikilia watu wenye upeo mdogo wa fikra, sasa mama mtu mzima na mkongwe kwenye siasa kama huyu anasema serikali ya CCM halafu tumwamini kwamba ana akili timamu
 
Wakuu,

Joto linaongezeja huko, mwendo wa makomboro kurushwa tu kila tu. Ila Chatanda kuna kitu anakitafuta 😂😂.

===

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.

Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
 
Mimi mpaka leo najiuliza hìvi CCM wakati wanachagua makamu mwenyekiti walitumia vigezo gani?
 
🤣🤣🤣🤣
 
Huyu barmaid naye asimtishe Lissu aende akafungue vizibo huko
 
Mimi mpaka leo najiuliza hìvi CCM wakati wanachagua makamu mwenyekiti walitumia vigezo gani?
Wale nyumbu hawakufanya uchaguzi bali ni sanaa tu. Uchaguzi huwa haufanywi vile. Eti jina lolote litakolopendekezwa na m/kiti na wao kushangilia ndio uchaguzi. CCM ni manyumbu, NONSENSE
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Jina la Tundu Lissu linatajwa sana, hata threads nyingi na likes nyingi zinamuhusu zaidi Lissu, kuliko wanasiasa wengine.....
 
Back
Top Bottom