Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Haya majangili ya mali za umma yatatoa wapi hoja? yenyewe ni kusifia yaibe basiAlaaa Tanzania , hususan Ndani ya CCM Kuna tatizo kubwa sana la kukosekana Kwa watu wenye Uwezo wa kujibu Hoja Kwa Hoja.
Wengi wa Wana CCM Hoja zao ni
-Amani ni tunu yetu ,inaletwa na CCM.( Unajiuliza Kwan Upinzan hawawez kuileta Amani)
-Upinzan wataleta ushoga ( unajiuliza ni Lini CCM walipinga ushoga waziwazi ).
Kwa hoja hizo , CCM uendelee kutegemea Jamii ya watu wajinga, wasokua na Elimu , wa Vijijin, Wazee ambao hawakwenda shule ila wanashinda Kwenye vilabu vya pombe.
Wakwibaji lazima waone hofu na shida kuu,na lazima wabaki na mahangaiko mashaka na taabu kama zote.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Lissu shikilia hapo hapooo!Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Lisu shikiria hapo hapo. Mbwa Hawa wanatakiwa wawe chama Cha upinzani.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.

CCM bado ina siasa za kishamba sana tatizo kubwa ni kushikilia watu wenye upeo mdogo wa fikra, sasa mama mtu mzima na mkongwe kwenye siasa kama huyu anasema serikali ya CCM halafu tumwamini kwamba ana akili timamuSiasa za majukwaani kwa CCM ili hali wako madarakani zaidi ya miaka 50 ni kujichafua. JPM alifanikisha kutoka katika siasa za majukwaani mpaka siasa za site. Watanzania wanahitaji ukamilifu wa matamko na miradi ya maendeleo. Hizi mboyoyo za majukwaani wawaachie CDM kwakuwa wapo ili kufichua matakataka ya baadhi ya wana-CCM. Nategemea CCM kwa miezi hii iliyobaki wafichue kwa kuueleza UMMA wamefanya nini kulingana na Mapato ya serikali (misaada, kodi & mikopo).
🤣🤣🤣🤣Wakuu,
Joto linaongezeja huko, mwendo wa makomboro kurushwa tu kila tu. Ila Chatanda kuna kitu anakitafuta 😂😂.
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Huyu barmaid naye asimtishe Lissu aende akafungue vizibo hukoWakuu,
Joto linaongezeja huko, mwendo wa makomboro kurushwa tu kila tu. Ila Chatanda kuna kitu anakitafuta 😂😂.
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Wale nyumbu hawakufanya uchaguzi bali ni sanaa tu. Uchaguzi huwa haufanywi vile. Eti jina lolote litakolopendekezwa na m/kiti na wao kushangilia ndio uchaguzi. CCM ni manyumbu, NONSENSEMimi mpaka leo najiuliza hìvi CCM wakati wanachagua makamu mwenyekiti walitumia vigezo gani?
Jina la Tundu Lissu linatajwa sana, hata threads nyingi na likes nyingi zinamuhusu zaidi Lissu, kuliko wanasiasa wengine.....Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chatanda ameyasema hayo Alhamisi Februari 13, 2025 Wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa akihamasisha Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura ulioanza tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025 kwa mkoa wa Tanga na Pwani.
Mawazo ya nyumbu hayoLisu shikiria hapo hapo. Mbwa Hawa wanatakiwa wawe chama Cha upinzani.