Mwenyekiti wa Baraza la Amani duniani kawehuka?

Ila marekani bana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, haya imeondoka na yule bwana Echolima1
Hapo usilaumu Marekani ni Israel ndiyo iliyomuua Waziri wa ulinzi wa Iran akiwemo Jaji aliyekuwa anawahukumu kunyongwa waandamanaji naye kupelekwa kuzimu chap!!!
 

Attachments

  • IMG_4989.jpeg
    41.1 KB · Views: 19
  • IMG_4978.jpeg
    168.9 KB · Views: 22
Wakati wao ndio wamejaza base zao karibu na Iran , 🀣🀣

Dunia inauongo mwingi sana
Wanatuona dunia nzima makondoo tu. Sema kitu kimoja wanaweza sana ni propaganda!! Hapo nimewainulia mikono
 
Wanatuona dunia nzima makondoo tu. Sema kitu kimoja wanaweza sana ni propaganda!! Hapo nimewainulia mikono
Ndio sisi ni makondoo na hamna kitu utawafanya. Ukitaka kuwa mbabe tengeneza nchi yenye uchumi imara na Jeshi imara otherwise Marekani watafnya chochote kile kwenye hii Dunia na utaufyata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…