Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yapi wakati mapinduzi yalishafanyila?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Rais wa Zanzibar qnaitwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Swali ni je, hilo ni Baraza lipi tena wakati mapinduzi yalishafanyika mwaka 1964?

Au kuna mapinduzi mengine ambayo bado hayajatimia?

Inawzekana ufafanuzi uko katika somo la uraia au some la siasa enzi zile ila mimi ndio sikumbuki.

Naomba ufafanuzi
 
Ushamba tu wa hawa wala urojo
 
Mapinduzi daima. Mkuu jitahidi uelewe maana yake.

Kuna watu inabidi wakumbushwe jinsi hiyo nchi ilivyopatikana - wasijesahau na kuleta nadharia zao wakasahau zaidi kuwa kuna wenye hati miliki ya kudumu!
 
Back
Top Bottom