Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Kwa haya Ni heri tusingedai Uhuru, kwa nn tutese watu wetu? Kisa unatofautiana nao mawazo?
 
Kwa haya Ni heri tusingedai Uhuru, kwa nn tutese watu wetu? Kisa unatofautiana nao mawazo?
Kundi LA intarahamwe toka Burundi na Rwanda wengi walikimbilia Tanzania na kutafuta usalama wao kwa kujiunga na sisiemu na dola lake.

Waijipenyeza sana kwenye siasa za sisiemu.
Kiujumla ni watu wanaonuka damu na kizazi chao . Wamezoea vyeo vya damu. Hao wakitafuta nafasi hawataki ushawishi wa kisiasa na hawana subra kwa wapinzani wao .Ni hatari sana kama Mh wa awamu hii hatafanya mabadiiko makubwa kwenye dola lake utekaji ,mauaji na utesaji utadumu kama chama.

Jiulize hivi Mulilo anapata faida gani kuwaumiza wanawake wa Chadema kama sio roho za intarahamwe zinawatafuna hao wavamizi.

Profesa Lipumba aliwaita CCM intarahamwe wakati wa Bunge la Katiba mpya. Aliona Mbali sana.Hao watu wapo na walihamia tz.
Watubu kwa uovu wa kumwaga damu za watu.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ina maana kosa lake ni kusema tu kuwa IGP Sirroooo, ndiye gaidi no 1 nchini??

Kwani kusema ukweli mchungu, kumekuwa kosa kubwa, Hadi atekwe??😁
Kasema mengi! Wewe ulisikia hilo tu!
 
Tanzania is rather a stable Country compared to other small countries like Rwanda and Burundi but if the rulers allow impunity to continue without checks may as well result in what happened in other countries like Sudan, Rwanda, and the likes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…