Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Na ili uelewe hili jambo livae kama wewe ni mwanae wa kwanza
Mmekaa seating room unakuta watu wameongia wamemchukua mzee wanasepa nae
Hujui wanaenda wapi
Kufanya nini
Na kwanini


kunasiku watu watashindwa kuvumilia
Nilivyoelewa uliyoandika hapa:
Huyo mwanae awe ni HAMZA palepale wanapomchukua mzeee!

Mbona hata wao "walioingia na kuchukua watu" wataanza kujiuliza maswali magumu!
 
JPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi

je JPM bado yupo?

kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete

`
Yote tulaumu ila Lissu domokaya! Hakuna nchi inayovumilia upuuzi huo ndani ya nchi. Watu wa aina hiyo kokote huondolewa. Ndo maana hata alipoanza ziara, aliamini ataungwa mkono lakiniakaishia kukutaka na washenzi wa mitaani tu.
 
Lin waliondoka ....hata kwa nyerere,mwinyi, JK,mkapa walikuwepo, wapo, wataendelea kuwepo...

Unamkumbuka DR.ULIMBOKA?
Daah si yule wa kung' olewa kucha kwa plaizi? Watu wanaroho mbaya Sana hapa duniani
 
Bisibisi, miguu juu, biscuits, saini maelezo unaletewa, sisi ni vinara wa demokrasia maziwa makuu!
 
Hata Lissu akiwa rais watu watatekwa kama kawa, KUNA SYSTEM nyuma ya rais,Ndio maana tunaoijua hii nchi, tunajua Mbowe sio Gaidi ila SYSTEM imefanyabyake, angekuwepo JPM angetupiwa kila lawama...

SAMIA awali hakuijua Vzr SYSTEM..... akataka aendeshe nchi yeye kama yeye, ndipo SYSTEM ikamuambia kina mbowe watamzid kete...

Now Mbowe yupo korokoroni.....
Upo Sawa kabisa ndo maana watu wanalalamika kuwa kuna kikosi kinaendesha nchi badala ya rais.
 
Eti hakuna system inaweza kufanya jambo bila mkuu wao kujua. Sometimes kubalini kuna vitu hamjui
Vijitu vingine vikisikia system basi vinaona sijui ni software gani iliyoundwa mbinguni kumbe ni watu wa kawaida mnaogombea mademu na kunywa nao gongo tu.
Nasisitiza kama kuna jambo la hatari mnayoita syste imelifanya basi lina baraka ya mkuu wao. Ukiona wanefanya vitu vya kawaida basi ujue kwenye miongozo yao halina hatar ya kumfanya Rais atie wino.
System ni watu na watu hao wasipowekewa mipaka wanaweza kutumika vibaya na ushahidi upo. Waulize kina Zombe yaliyowakuta baada ya kujifanyia mambo holela.
 
Bado hujanishawishi , unayakumbuka yaliyompata Ben Saanane ?

Imani yako inafanana na imani ambayo Americans walikuwa nayo kwamba Osama bin Laden ndiye alikuwa roho ya ugaidi. Leo ni zaidi ya miaka kumi tangu wamuue bin Laden, lakini vita dhidi ya ugaidi bado hawajafanikiwa (na hakuna hata dalili ya) kuvishinda!
 
Wanakamatwa sio kutekwa polisi hawateki wanakamata SEMA walikamatwa we anawahi kusema kutekwa ,ukifanya mgumu lazima ukalishwe


USSR
Tuanze kupigia upatu ipatikane katiba mpya isiyotambua siasa.
 
View attachment 1961683

Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi.

Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia.
Unafaidika nini kwa uongo huu?
 
Back
Top Bottom