Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
sijibugi wajingapenda kujifunza kwanza kabla ya kuandika ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijibugi wajingapenda kujifunza kwanza kabla ya kuandika ujinga
Naona ukiwarushia lawama wapinzani na hasa Cdm kuhusu utendaji mbaya wa vyombo vyetu. Je inaisaidia nini nchi hii , ikiwa miaka 60 baada ya Uhuru Tanganyika bado ni masikini wa kusaidiwa sindano na nyembe ?!.Bado wapinzani hawajaelewa namna ya kudili na nyakati.
Kosa kubwa la chadema ni kubeba mambo yote kwa pamoja na kurukia kila hoja.
Kigogo aliwashauri vizuri kuwa waandae watu . Mpaka anakamatwa na kupelekwa kusikojulikana wao hawana information toka ndani ya mifumo ya dola ni udhaifu mkubwa.
Chadema mpaka Mwenyekiti wao alikamatwa kibubusa bila taarifa ni ukolo.
Kigogo alijaribu kuwapa somo zuri sana la kujipanga lakini wakapotosha kuwa anawashauri kuandaa uasi. Mpaka sasa bado viongozi wanatekwa.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Kweli sisi ni maamuma hatujui kinachoendelea inamaana System can do whatever they like bila kukubaliana na Rais? Basi haya ni makubwa.Hata Lissu akiwa rais watu watatekwa kama kawa, KUNA SYSTEM nyuma ya rais,Ndio maana tunaoijua hii nchi, tunajua Mbowe sio Gaidi ila SYSTEM imefanyabyake, angekuwepo JPM angetupiwa kila lawama...
SAMIA awali hakuijua Vzr SYSTEM..... akataka aendeshe nchi yeye kama yeye, ndipo SYSTEM ikamuambia kina mbowe watamzid kete...
Now Mbowe yupo korokoroni.....
leta ujinga utapotezwa ,chadema watatuma HASHTAG twitterKwahiyo kupotezwa watu unaona ushujaa,wewe utaishi milele? Akili mavi kwelikweli.
hamjui vitu vingi sana kuhusu nchi hiiKweli sisi ni maamuma hatujui kinachoendelea inamaana System can do whatever they like bila kukubaliana na Rais? Basi haya ni makubwa.
Wewe uliathiriwa na vitendo vya uzalilishaji toka kwa "wajomba" zako,ndio maana upo hivyo ulivyo,robo taahira,robo msukule,robo maiti,robo mchawi.Ameyataka mwenyewe mzee mzima ndio anashobokea siasa
USSR
hao huwa wapo miaka yote sema mitandao imesaidia kuwajua miaka ya karibuni hao ndio hujiona ndio serikali juzi walimyakua mchora katuniIna maana wasiojulikana wamerudi tena
wenggi hawajui hao watu wapo toka enz za nyerere, had kwa samia wanapiga kazhao huwa wapo miaka yote sema mitandao imesaidia kuwajua miaka ya karibuni hao ndio hujiona ndio serikali juzi walimyakua mchora katuni
HujachelewaBora ningezaliwa mbwa Ulaya
Acha kujifanya mjuaji pimbi wewe nchi ni ya mama yako hii?hamjui vitu vingi sana kuhusu nchi hii
MBONA UMEJIBU..😁sijibugi wajinga
Kuna Jambo watu wanalazimosha pasipo sababu , twende tuView attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi.
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia.
Hakuna cha system, nchi zaidi ya 35 za kiafrika kati ya 54 zimewahi kupinduliwa na jeshi sasa kwenye hizo nchi hamna hiyo system unayoiongelea.HUIJUI HISTORIA YA HII NCHI
wana hoja,system iliwahi kumuondoa makamu wa raisi...
Alipotea makamu wa RAIS Abdallah Hanga huko Zanzibar Hadi leo hajapatikana
Muulize lissu,Roma mbona adui yao JPM hayupo, lkn wanaogopa kurudi...wanaogopa nn....hadi roma katelekeza familia...au JPM yupo
Acha uongo wewe. Roma alitekwa na bashite baada ya kutoa wimbo wenye maudhui ya kumponda JPM.Vijana hawaijui hii nchi... juzi tu alipoingia samia.... wametekwa wengi tu wenye kelele
kwa kikwete ULIMBOKA alitekwa hata JK hakujua.....amekuja kumuona muhimbili....
Roma alitekwa kwa makosa ya kipind cha JK, mwanzon mwa utawala wa JPM....
Umenena vyema mkuuHakuna system inaweza kufanya jambo bila mkuu wao kujua au kupewa taarifa ya operation hiyo na kuiridhia. Hiyo system inaongozwa na watu ambao kwa ukubwa wake ni wateule wa Rais.
Na kama utaicha system ifanye kazi bila kukutaarifu wewe ipo siku watakugambanisha na wananchi uwajibike wewe wakati wao wakila maisha kwa dhulma zao.
Rejea viongozi wengi wa hizi unazoita system walivyowajibishwa baada ya kufanya bila matakwa ya mkubwa wao.
Kwakifupi kila kitu kinachoendelea Samia anakibariki na kama analazimishwa basi ujue hatuna Rais na hii ni hatari kubwa sana.
Hahaha PGOOOOOO,😂 wabongo washaisoma baada ya kutoifahamu kwa miaka dahar, sasa walishaichambua kuliko hata hao policcm 😀. Mlifanya makosa makubwa Sana kuiacha nje kibatala akapita nayo! sasa Mambo yote hadharani,wabongo wanajua Ni wakati gani wanakamatwa,wanabakwa au wanatekwa Ni kosa la PGO usilaumu mtu.Wanakamatwa sio kutekwa polisi hawateki wanakamata SEMA walikamatwa we anawahi kusema kutekwa ,ukifanya mgumu lazima ukalishwe
USSR
Ni mirengo tu wewee kushangiliae kifo cha jpm na mm kufurahia mwenyekiti wako kufungwa tofauti ninini?Wewe uliathiriwa na vitendo vya uzalilishaji toka kwa "wajomba" zako,ndio maana upo hivyo ulivyo,robo taahira,robo msukule,robo maiti,robo mchawi.
Kama yanafanyika ukiwa Rais, utawajibishwa wewe as long as yamefanyway na watu wa serikali. hata kama hukutoa maagizo, lawama utazijibu weweULIMBOKA alitekwa hata JK hakujua..
Haya ndio Mambo yaliyomkuta Moses LijenjeView attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi.
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia.