Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Yani kwamba system inaamuliwa na wanasiasa?

Kwa mtazamo wangu wewe ndy haujui kuliko huyo unayemkosoa ..mm naona Jackwillpower hoja yake angalau ina mashiko

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mzee aachiwe mara moja wakichelewa utitiri wa Albadiri utamiminika kwa wote walioshiriki huo utekaji wa kishetani
 
Kingai na Mahita waulizwe. Maana ndio watumwa wa mr zero
Hao watu waliwafunga walinzi wa mbowe pingu mikono miguu kwa saa 24 kila siku huku wakijua siyo magaidi na ugaidi haupo na haukuwepo, kitendo cha kuwapiga watu waliofungwa pingu huku ukiwalazimisha waseme vitu ambavyo havipo na havijakuwepo ni unyama wa hali ya kutisha ni ushetani mkubwa, kingai mahita na wenzao walioshiriki kuwatesa hao walinzi kinyume na haki za binadamu wajiandae kupokea laana za ndugu familia marafiki na watanzania wote wapenda haki na Amani
 
Na ili uelewe hili jambo livae kama wewe ni mwanae wa kwanza
Mmekaa seating room unakuta watu wameongia wamemchukua mzee wanasepa nae
Hujui wanaenda wapi
Kufanya nini
Na kwanini


kunasiku watu watashindwa kuvumilia
Tiba na dawa ya hii ni kusoma utitiri wa Albadiri kwa 5000 hivi ili iwe fundisho kwa waonevu wote
 
Watu turudi kufunga na kumlilia Mungu yeye anasikia na atatenda kama alivyotenda hapo kabla.
Mungu anamchukia mwenye kudhulumu na kutesa, hakika atamuabisha hapa hapa duniani.
Kama ni hivyo basi tutee ee makubwa kumkuta mr chair, alichukua bilions of money kutoka kwa lowassa huku sisi makapuku tukiishia kudeki barabara!
 
View attachment 1961683

Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .

Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
CHADEMA CHADEMA CHADEMA MNISIKIE NYIE WAPUUZI ,NILIWAAMBIA MSIFURAHI KIFO CHA MAGUFULI BILA YA KUJUA KUNA MIKONO YA WATU AU LA! maana kama kimetokana na mikono ya watu basi mjue mwisho wenu utakuwa mbaya kuliko wakati wa jpm,,,maana kama aliuliwa basi waliomuua awawezi kuruhusu chochote chenye kuatalisha usalama wao kwa kile walicho kifanya juu ya jpm hivyo swala la katiba au uhuru wa vyama itakuwa ndoto kwenu
 
JPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi

je JPM bado yupo?

kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete

`
Na Tanzania system ni moja ila ina sura mbili....mafisadi legacy na wazarendo legacy
 
Tiba na dawa ya hii ni kusoma utitiri wa Albadiri kwa 5000 hivi ili iwe fundisho kwa waonevu
Mnazungumzia haki, sawa....vizuri kabisa. Tujiulize je, alichoongea mzee ni haki? Ni swwa? Kamshutumu kikwete waziwazi kiwa anampotosha mama, je, ana ushahidi au nalo lizee zima linaropokaropoka tu ile mijamaa isiyokuwa na kazi humu mitandaoni ambayo kutwa kucha kazi yao ni hiyo?
 
Watu turudi kufunga na kumlilia Mungu yeye anasikia na atatenda kama alivyotenda hapo kabla.
Mungu anamchukia mwenye kudhulumu na kutesa, hakika atamuabisha hapa hapa duniani.
Hiyo ni laana kamili kutoka kwa mungu kwa sababu mlikufuru kwa magufuli hivyo mungu mliye muomba kawaleteeni mashetani msiyo yaelewa
Mkataa pema papaya panamwita" ndiyo nyinyi
 
Kama ni hivyo basi tutee ee makubwa kumkuta mr chair, alichukua bilions of money kutoka kwa lowassa huku sisi makapuku tukiishia kudeki barabara!
Unaweza kuweka ushahidi wowote hata wa uongo ?
 
Unaweza kuta hawa CHADEMA huyu mzee kajiteka mwenywe ila wapate huruma ya wananchi.
Mbinu kama za mwenyekiti wao alijipiga gwara mwenyewe na Konyagi akasingizia kapigwa na vibaka wa CCM
 
IMG_20211004_045425.jpg
 
Hakuna system inaweza kufanya jambo bila mkuu wao kujua au kupewa taarifa ya operation hiyo na kuiridhia. Hiyo system inaongozwa na watu ambao kwa ukubwa wake ni wateule wa Rais.
Na kama utaicha system ifanye kazi bila kukutaarifu wewe ipo siku watakugambanisha na wananchi uwajibike wewe wakati wao wakila maisha kwa dhulma zao.
Rejea viongozi wengi wa hizi unazoita system walivyowajibishwa baada ya kufanya bila matakwa ya mkubwa wao.
Kwakifupi kila kitu kinachoendelea Samia anakibariki na kama analazimishwa basi ujue hatuna Rais na hii ni hatari kubwa sana.
Eti hakuna system inaweza kufanya jambo bila mkuu wao kujua. Sometimes kubalini kuna vitu hamjui
 
..kuna watu wanadai eti system ndio imemuondoa jiwe.
Kuna watu pia wanadai ni Corona, kuna watu wanadai ni mataifa makubwa yamemuondoa, uzushi uzushi tu na gossiping za watu. Jiwe alikuwa mgonjwa toka akiwa mwanafunzi, na alishajua siku zake si nyingi, system was compatible with jiwe.
 
Kuna lile jitu puuzi la ovyo na roho mbaya linaloitwa Siro muende mkaliulize linajua, na mliochukuliwa ndugu msicheke na hayo majambazi yameshaonja damu za watu hayawezi kuacha
 
Back
Top Bottom