Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu akataa Unyonge, aelekea Singida na Timu yake kuunganisha Nguvu kwa Tundu Lissu!

Ila Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee

Mwenyekiti kazuia machawa wake kumpigia promo.
 
Bwasheh wanao hao najuwa unawakubali sana

Ova
 
Toka Dr Slaa alivyoondoka chadema sina raha chadema naipenda kwa kujilazimisha...
 
Jambo jema sn
 
Sahihi mikutano yenyewe analazimisha pesa za kuandaa mkutano hatoi ila za kusafiri na kulala mahotelini anazo

..mikutano inaandaliwa na wananchi wenyewe.

..Na hayo majukwaa ni taswira ya hali ya kiuchumi ya wananchi huko vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…