Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA John Pambalu asema yuko upande wa Lissu kupinga fedha chafu zilizoingizwa na mahasimu kuvuruga Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu pesa za kuweka bango kama hili la Billbod ametowa wapi?
ni kujipanga tu comrade......

In politics nothing happens out of mere coincidence, every things are normally well planned, organized to achieve certain political objectives.....

and for your information,
the gentleman is a project of somebody to achieve a certain political goals from someone somewhere

time will tell
 
Kila mtu ana staili yake ya maisha hao wamejitangaza yeye kaamua kufanya mambo yake kimya kimya jambo ambalo siyo kosa kisheria.
hivyo anavyotumika ndio kilimo na biashara ya kimyakimya sio?

kilimo na biashara ya siasa, right?

hata hivyo mbona siyo kimya, ni bayana tyuu
 
Hivi kuna kiongozi wa Chadema anayetaka rushwa ikubalike?

Amandla...
 
hivyo anavyotumika ndio kilimo na biashara ya kimyakimya sio?

kilimo na biashara ya siasa, right?

hata hivyo mbona siyo kimya, ni bayana tyuu
Point yako ni ipi hasa, Matola kaniuliza Pambalu ana biashara gani apart from kazi yake ya ualimu na nimejibu kwa lile ninalofahamu. Sasa wewe kama kuna unalofamu liweke hapa. Hizi siasa zenu za chuki kwa watu wa Chadema sina muda nazo.
 
Point yako ni ipi hasa, Matola kaniuliza Pambalu ana biashara gani apart from kazi yake ya ualimu na nimejibu kwa lile ninalofahamu. Sasa wewe kama kuna unalofamu liweke hapa. Hizi siasa zenu za chuki kwa watu wa Chadema sina muda nazo.
ni project ya kisiasa ya mtu fulani
 
ni project ya kisiasa ya mtu fulani
Wewe umemuona yuko so dull kiasi hawezi kufanya project yoyote kwa kujisimamia? Hizo chuki na dharau zako haziwezi kukufanya wewe ukawa bora kuliko yeye ndiyo maana unakesha humu kutolea watu maneno ya dharau na yeye yupo kimya anafanya yake. Hizi siasa zenu za maji taka zimepitwa na wakati.
 
hawezi kujisimamia hata kidogo, bado ni mchanga na mwepesi sana kisiasa.

akishatumika na anaemtumia akishafikia malengo yake ya kisiasa, atakua ni useless, atakua dumped. Na hapo ndipo ataanza kujitambua na kuanza sasa kujijengea uwezo wa kujitegemea. .....

but for now kijana ni project isiyomnufaisha yeye, but kuna vitu ataejoy na kujiona as if yeye ni wa kipekee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…