Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
SureAdd
To the list
wenje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureAdd
To the list
wenje
Upo nao CCM kitambo snKwahiyo Chadema ni chama cha walimu Prof Kitila, Mwita Waitara, Easter Matiko
Walimu Oyeeeee 😂
Pambalu ni mjasiliamali mkubwa tu hashindwi kulipia hilo bango siyo kama vijana wa uvccm wamekalia uchawa tu na kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa.Huyu pesa za kuweka bango kama hili la Billbod ametowa wapi?
Lisu haitaji gariokey, good...
that's right......
so,
mgawanyiko wa wana chadema kuhusu michango, umeletwa na huyo mumama na ni nje ya chadema right?
na kwahiyo lisu ameomba achangiwe ya kutengeneza gari peke yake right?
na mchango utaanza lini?![]()
Pambalu anafanya biashara gani?Pambalu ni mjasiliamali mkubwa tu hashindwi kulipia hilo bango siyo kama vijana wa uvccm wamekalia uchawa tu na kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa.
Ana biashara ipi? Naomba maelezo.Kama ametengeneza kwa pesa ake tatizo ni nini?
ni kujipanga tu comrade......Huyu pesa za kuweka bango kama hili la Billbod ametowa wapi?

Analima na kufugaPambalu anafanya biashara gani?
Ally Hapi na Peter Msigwa tunawaonaga wakiwa shamba, huyo Pambalu analima Texas?Analima na kufuga
Kila mtu ana staili yake ya maisha hao wamejitangaza yeye kaamua kufanya mambo yake kimya kimya jambo ambalo siyo kosa kisheria.Ally Hapi na Peter Msigwa tunawaonaga wakiwa shamba, huyo Pambalu analima Texas?
hivyo anavyotumika ndio kilimo na biashara ya kimyakimya sio?Kila mtu ana staili yake ya maisha hao wamejitangaza yeye kaamua kufanya mambo yake kimya kimya jambo ambalo siyo kosa kisheria.

Hivi kuna kiongozi wa Chadema anayetaka rushwa ikubalike?Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu
Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lisu kupambana na Rushwa ndani ya Chadema
Source: Nipashe Digital
My take; Tunywe mtori nyama tutazikuta chini 😂😂
Point yako ni ipi hasa, Matola kaniuliza Pambalu ana biashara gani apart from kazi yake ya ualimu na nimejibu kwa lile ninalofahamu. Sasa wewe kama kuna unalofamu liweke hapa. Hizi siasa zenu za chuki kwa watu wa Chadema sina muda nazo.hivyo anavyotumika ndio kilimo na biashara ya kimyakimya sio?
kilimo na biashara ya siasa, right?
hata hivyo mbona siyo kimya, ni bayana tyuu![]()
Hao waliopokea mzigo Toka Chama DumeHivi kuna kiongozi wa Chadema anayetaka rushwa ikubalike?
Amandla...
ni project ya kisiasa ya mtu fulaniPoint yako ni ipi hasa, Matola kaniuliza Pambalu ana biashara gani apart from kazi yake ya ualimu na nimejibu kwa lile ninalofahamu. Sasa wewe kama kuna unalofamu liweke hapa. Hizi siasa zenu za chuki kwa watu wa Chadema sina muda nazo.

Wewe umemuona yuko so dull kiasi hawezi kufanya project yoyote kwa kujisimamia? Hizo chuki na dharau zako haziwezi kukufanya wewe ukawa bora kuliko yeye ndiyo maana unakesha humu kutolea watu maneno ya dharau na yeye yupo kimya anafanya yake. Hizi siasa zenu za maji taka zimepitwa na wakati.ni project ya kisiasa ya mtu fulani![]()
Wamesema kuwa ni haki yao kupokea?Hao waliopokea mzigo Toka Chama Dume
hawezi kujisimamia hata kidogo, bado ni mchanga na mwepesi sana kisiasa.Wewe umemuona yuko so dull kiasi hawezi kufanya project yoyote kwa kujisimamia? Hizo chuki na dharau zako haziwezi kukufanya wewe ukawa bora kuliko yeye ndiyo maana unakesha humu kutolea watu maneno ya dharau na yeye yupo kimya anafanya yake. Hizi siasa zenu za maji taka zimepitwa na wakati.

Anafuga, analima na ni mjasiriamali mzuri snAna biashara ipi? Naomba maelezo.