Mwenyekiti wa BAVICHA, Mahinyila azuiwa mlangoni na kupigwa " Tanganyika Jeki" na Red brigade alipokuwa anaingia Kwenye Mkutano wa BAWACHA na Lissu!

Kuna watu wanasemaga CDM ni genge la wahuni, naelekeaga kuamini hilo! Ah,,, kumbe nipo ndotoni samahanini wakuu πŸ€”πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
 
Hizi habari ndio unazihusudu sana
 
Bila picha ni uzushi wa ma CCM mapumbavu!!
 
Kuzamia shughuli ya watu bila mwaliko madhara yake ndiyo hayo - jamaa ana muwashawasha sana- atatulia tu chini ya Mwamba.
 
Duh aiseee
Mbowe kaiba pesa zote za chadema anaogopa akiachia uenyekiti kisha aje mwenyekiti mpya akapelekwa jela kwa kesi ya Ufisadi ndiyo maana kaunda vikundi vya hovyo hovyo vifanye mambo ya hovyo kumhujumu kumdhoofisha Lisu, kaunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, Boniface, wenje, sugu na Wilium mungai kwa ajili ya kufanya uchakachuaji kuiba kura kupora ushindi wa Lisu, hivyo vikundi vinagharamiwa kwa pesa alizoiba Mbowe kwenye hazina ya chadema
 
Kaota mapembe huyo anatakiwa kujua kuwa kuna mwaliko kwenda tukio huendi

Mkutano wa BAWACHA baraza la wanawake yeye sio mwabamke mikutano kama hiyo unaingia kwa Mwaliko rasmi huendi tu sababu Lisu kaenda anakuwa kaalikwa
 
Hivi kwa nini watu wanatumia hii title wakili msomi? Kwani mtu anaweza kuwa wakili bila ya kusomea hiyo fani?
 
Naye alitaka aingie kama nani wakati anayeingia kwa mujibu wa cheo chake ni Mwenyekiti wa BAVICHA anayemaliza muda wake! Apigwe tu Tanganyika Jeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…