minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mbowe anaihujumu Timu LisuYa Tanganyika Jeki ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe anaihujumu Timu LisuYa Tanganyika Jeki ๐๐๐
Mrembo, uhuni wangu n upi?Yes wahuni kama wewe tu
Wenje ni Dalali miaka yoteHivi Wenje alikuwa Mbunge wa Rombo au Vunjo nimesahau kidogo ๐
Hizi habari ndio unazihusudu sanaMwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ๐๐
Genge la wahuni analo Mbowe peke yake wengine hawana hilo gengeKuna watu wanasemaga CDM ni genge la wahuni, naelekeaga kuamini hilo! Ah,,, kumbe nipo ndotoni samahanini wakuu ๐ค๐๐ฝ๐๐ฝ
mjanja mwenyekiti wa bavicha kapigwa Tanganyika jeki hadharini mbele ya Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, Je, mjinga ni nani kati yao? Gentleman?๐Usiwage Mjinga Wewe ๐๐
Bila picha ni uzushi wa ma CCM mapumbavu!!Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ๐๐
Unaikashifu sana Chadema miaka kibao.sijui walikukosea nini๐Mrembo, uhuni wangu n upi?
Mbowe kaiba pesa zote za chadema anaogopa akiachia uenyekiti kisha aje mwenyekiti mpya akapelekwa jela kwa kesi ya Ufisadi ndiyo maana kaunda vikundi vya hovyo hovyo vifanye mambo ya hovyo kumhujumu kumdhoofisha Lisu, kaunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, Boniface, wenje, sugu na Wilium mungai kwa ajili ya kufanya uchakachuaji kuiba kura kupora ushindi wa Lisu, hivyo vikundi vinagharamiwa kwa pesa alizoiba Mbowe kwenye hazina ya chademaDuh aiseee
Na yeye ndo Mwana CDM kiongozi mkuu sasa hilo halikwepeki mkuu,,Genge la wahuni analo Mbowe peke yake wengine hawana hilo genge
NyamaganaHivi Wenje alikuwa Mbunge wa Rombo au Vunjo nimesahau kidogo ๐
Simba ndo wahuni banaChadema ni wahuni
Hivi kwa nini watu wanatumia hii title wakili msomi? Kwani mtu anaweza kuwa wakili bila ya kusomea hiyo fani?Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ๐๐
Kwahy mpaka sasa hujaona uhuni wao?Unaikashifu sana Chadema miaka kibao.sijui walikukosea nini๐