Mwenyekiti wa BAVICHA, Mahinyila azuiwa mlangoni na kupigwa " Tanganyika Jeki" na Red brigade alipokuwa anaingia Kwenye Mkutano wa BAWACHA na Lissu!

Kuna watu wanasemaga CDM ni genge la wahuni, naelekeaga kuamini hilo! Ah,,, kumbe nipo ndotoni samahanini wakuu πŸ€”πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Mkuu ungesindikiza hili bandiko na picha.
 
Bila picha aisee hapa chenga tupu
 
Huyu dogo anajiharibia mapema..lazima afatane na bwuna lake ?
 
Kuzamia shughuli ya watu bila mwaliko madhara yake ndiyo hayo - jamaa ana muwashawasha sana- atatulia tu chini ya Mwamba.
Awamu hii huyo mwamba wako kashikwa pabaya, hachomoki!
Kachokwa na kila mwanamageuzi wa kweli awe wa ndani au asiye na chama.
Kiufupi umma umemkataa Mbowe
 
Awamu hii huyo mwamba wako kashikwa pabaya, hachomoki!
Kachokwa na kila mwanamageuzi wa kweli awe wa ndani au asiye na chama.
Kiufupi umma umemkataa Mbowe
Tulia wewe, hujui siasa unafikiri siasa ni matamko ya hovyo hovyo.
Uchaguzi ushaisha boss wako kachezeshwa sebene la Mwamba tuvushe bila kupenda.
 
kwani hawajui itifaki hao walinzi?
 
Naye alitaka aingie kama nani wakati anayeingia kwa mujibu wa cheo chake ni Mwenyekiti wa BAVICHA anayemaliza muda wake! Apigwe tu Tanganyika Jeki
Pambalu kastaafu jana

Mwenezi Twaha Mwaipaya kastaafu Leo

Huyo Wakili Msomi Mahinyila alikuwa anaingia Kikatiba zaidi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…