CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Una upuuzi mwingi sana hata kumzidi chawa Lucas MwashambwaHivi Wenje alikuwa Mbunge wa Rombo au Vunjo nimesahau kidogo ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una upuuzi mwingi sana hata kumzidi chawa Lucas MwashambwaHivi Wenje alikuwa Mbunge wa Rombo au Vunjo nimesahau kidogo ๐
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawalaKuna watu wanasemaga CDM ni genge la wahuni, naelekeaga kuamini hilo! Ah,,, kumbe nipo ndotoni samahanini wakuu ๐ค๐๐ฝ๐๐ฝ
Huyu bado kuvishwa dera na shanga tuHizi habari ndio unazihusudu sana
Mkuu ungesindikiza hili bandiko na picha.Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃJuma Lokole wa JF katika moja na mbili zako.
Picha aitoe wapi naye yuko bar ametegea na beer ya safari kubwa imejaa mate matupu akisubiri offerMkuu ungesindikiza hili bandiko na picha.
Bila picha aisee hapa chenga tupuMwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki
Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili
Ahsanteni sana
Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ๐๐
Awamu hii huyo mwamba wako kashikwa pabaya, hachomoki!Kuzamia shughuli ya watu bila mwaliko madhara yake ndiyo hayo - jamaa ana muwashawasha sana- atatulia tu chini ya Mwamba.
Tulia wewe, hujui siasa unafikiri siasa ni matamko ya hovyo hovyo.Awamu hii huyo mwamba wako kashikwa pabaya, hachomoki!
Kachokwa na kila mwanamageuzi wa kweli awe wa ndani au asiye na chama.
Kiufupi umma umemkataa Mbowe
kwani hawajui itifaki hao walinzi?hata hivyo,
huna kadi ya mualiko, unakwenda wapi kwa mfano kwenye jambo muhimu kama uchaguzi ndrugo zango?
Msibani kwa magufuli pale Jamuhuri Dodoma Paul Makonda aliwahi kuzuiliwa kuingia geti na jukwaa kuu kwasabb hakuwemo kwenye listi ya waliostahili kupitia na kukaa huko.
Tupunguze vimbelembele vijana japo jambo ni la kawaida
Pambalu kastaafu janaNaye alitaka aingie kama nani wakati anayeingia kwa mujibu wa cheo chake ni Mwenyekiti wa BAVICHA anayemaliza muda wake! Apigwe tu Tanganyika Jeki
๐๐๐Picha aitoe wapi naye yuko bar ametegea na beer ya safari kubwa imejaa mate matupu akisubiri offer
wanajua protocol ndio maana vibaka wazamiaji wamezuiwa kuingia ukumbini ๐kwani hawajui itifaki hao walinzi?
Juma Lokole wewe๐๐๐
Tena ni wahuni wakubwa ambao hawana uwezo wa kuongoza hata mkoa mmoja!!Chadema ni wahuni
Vunjo hatakuwahi kuwa na mmbunge wa aina ya Wenje ,ukimuondoa Mrema ,Vunjo imekuwa na wabunge welikamata kitaba kisawasawa.Hivi Wenje alikuwa Mbunge wa Rombo au Vunjo nimesahau kidogo ๐