Mwenyekiti wa BAVICHA, Mahinyila azuiwa mlangoni na kupigwa " Tanganyika Jeki" na Red brigade alipokuwa anaingia Kwenye Mkutano wa BAWACHA na Lissu!

Mwenyekiti wa BAVICHA, Mahinyila azuiwa mlangoni na kupigwa " Tanganyika Jeki" na Red brigade alipokuwa anaingia Kwenye Mkutano wa BAWACHA na Lissu!

Kuna watu wanasemaga CDM ni genge la wahuni, naelekeaga kuamini hilo! Ah,,, kumbe nipo ndotoni samahanini wakuu ๐Ÿค”๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA

Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa Kikosi hiki

Wakili Msomi Mahinyila alikuwa ameongozana na Mh Tundu Lisu wakiingia Kwenye Mkutano wa Bawacha Kwa mujibu wa Nafasi zao za Uongozi

Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema Mh Shija amemtaka Katibu mkuu Mh John Mnyika kulitolea Ufafanuzi wa haraka jambo hili

Ahsanteni sana

Kule Tanga Mrema wa Nccr Mageuzi alikatwa mtama mkutanoni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu ungesindikiza hili bandiko na picha.
 
Bila picha aisee hapa chenga tupu
 
Huyu dogo anajiharibia mapema..lazima afatane na bwuna lake ?
 
Kuzamia shughuli ya watu bila mwaliko madhara yake ndiyo hayo - jamaa ana muwashawasha sana- atatulia tu chini ya Mwamba.
Awamu hii huyo mwamba wako kashikwa pabaya, hachomoki!
Kachokwa na kila mwanamageuzi wa kweli awe wa ndani au asiye na chama.
Kiufupi umma umemkataa Mbowe
 
Awamu hii huyo mwamba wako kashikwa pabaya, hachomoki!
Kachokwa na kila mwanamageuzi wa kweli awe wa ndani au asiye na chama.
Kiufupi umma umemkataa Mbowe
Tulia wewe, hujui siasa unafikiri siasa ni matamko ya hovyo hovyo.
Uchaguzi ushaisha boss wako kachezeshwa sebene la Mwamba tuvushe bila kupenda.
 
hata hivyo,
huna kadi ya mualiko, unakwenda wapi kwa mfano kwenye jambo muhimu kama uchaguzi ndrugo zango?

Msibani kwa magufuli pale Jamuhuri Dodoma Paul Makonda aliwahi kuzuiliwa kuingia geti na jukwaa kuu kwasabb hakuwemo kwenye listi ya waliostahili kupitia na kukaa huko.

Tupunguze vimbelembele vijana japo jambo ni la kawaida
kwani hawajui itifaki hao walinzi?
 
Naye alitaka aingie kama nani wakati anayeingia kwa mujibu wa cheo chake ni Mwenyekiti wa BAVICHA anayemaliza muda wake! Apigwe tu Tanganyika Jeki
Pambalu kastaafu jana

Mwenezi Twaha Mwaipaya kastaafu Leo

Huyo Wakili Msomi Mahinyila alikuwa anaingia Kikatiba zaidi ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom