Mbona imechafuka toka juzi hapa jf na twitterNchi inaenda kuchafuka sasa
Lini inachafuka mkuu,Nani anaichafua? Kukamatwa kwa gaidi Mbowe ndo kufanye nchi ichafuke?Nchi inaenda kuchafuka sasa
Kumbe bado hajafeliAtafeli mapema mno
Hahaha CDM wamebaki midomo waziMbona imechafuka toka juzi hapa jf na twitter
Nasikia wana mkutano wao wa watu elfu 6 huko Twitter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha CDM wamebaki midomo wazi
Polisi wajanja sana, hawa watu hawana makosa yoyote wanachofanya ni kuwavuruga wasahau malengo yao ya kupigania Katiba Mpya, Chadema waje na plan A+ kukabiliana na hali hii badala ya kuendelea kushangaa huu usanii wa polisi.
Bado, ndio kwanza saa 7 kasoro 7 itimie 7 kamili.Kumekucha.....