Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye aanza safari na jeshi la polisi kutoka Mwanza kwenda Dar usiku wa leo kwa ajili ya upekuzi

Si tulikubaliana mama anakomesha MATAGA na Sukuma gang pekeee!!!!??
 
Kwa hiyo landcruiser inachoma diesel inayolipiwa na Haya maumivu ya Kodi ya miamala Kutoka Mwanza to Dar kwa mambo ya kipuuzi hivi kweli
 
Du,mitambo yakufyatua katiba.
Imeshafyatuliwa?
 
Inaonyesha mama amepuga kwenye MSHONO .
Kuna mtu anaenda kupoteza mwingine nguvu za KIUME tutaona kama hajanenepa makalio
 
KODI ZA WANYONGE/WATANGANYIKA ZINACHEZEWA SANA.
 
Bongo imejaa watu wasio na akili kabisa,Tena serikalini ndio wamejaa sasa polisi wanaona sifa na jambo la ubunifu sana,kumsafirisha mtu kutoka Mwanza mpaka Dar Tena kwa gari!,mnateseka weee usiku kucha mnatembea,yanaona kama ni jambo la ubunifu sana,kipi kinaongezeka,kwa nini asihojiwe Mwanza,?
 
Polisi wajanja sana, hawa watu hawana makosa yoyote wanachofanya ni kuwavuruga wasahau malengo yao ya kupigania Katiba Mpya, Chadema waje na plan A+ kukabiliana na hali hii badala ya kuendelea kushangaa huu usanii wa polisi.
In short Chadema ni wababaishaji na wahuni kabisa. Tusingefika huku kama wangekuwa smart. Mama alianza kuweka kila kitu sawa ila inaonyesha kuna watu ni wanufaika na hizi sinema za politics . Wanawake hawapendi kuona unawadharau.
 
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
 
Ndio maana njagu wakifaga halaiki ya wengi inashangilia, halafu wanalalama uzalendo na upendo hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…