Sijaona ujanja hapoPolisi wajanja sana, hawa watu hawana makosa yoyote wanachofanya ni kuwavuruga wasahau malengo yao ya kupigania Katiba Mpya, Chadema waje na plan A+ kukabiliana na hali hii badala ya kuendelea kushangaa huu usanii wa polisi.
Na wewe utakufa utaicha CCM inatawala.Jiwe kafa kaicha CHADEMA inadunda, huyu nae atafuata mkondo ule ule.
Kwahiyo ulitaka wapekue huko kwenye ZOOM au? Tukiwaambia nyinyi ni nyumbu mnabisha ona sasa utopolo ulioandika hapa!Swali fikirishi!
Je Polisi wanafanya kazi ya Siasa au kulinda amani na mali ya watu.?
Kitendo cha kuwachukua watu wakiwa wamelala usiku wa manage kabla ya tukio. Je kulikuwa na uvunjifu wowote wa hali ya amani?
Kuwasafirisha watu Mwanza Dar Mwanza ni utopolo wa aina gani huu wakati mitandao watu wanafanya zoom na hata Rais SSH majuzi aliongeleshana na mkuu wa WHO kuomba msaada na kila kitu kilienda.
Polisi wetu mnaonyesha udhaifu wa hali ya juu mno kama hamkwenda shule vile.!!!
Jiwe kafa kaicha CHADEMA inadunda, huyu nae atafuata mkondo ule ule.
Tena wala si siku nyingiJiwe kafa kaicha CHADEMA inadunda, huyu nae atafuata mkondo ule ule.
Unajikuta mjanjaa...eti jaribu sasa!!?wakati nyumban kwako panya tu unamuita bodaboda aje kumuua...Jaribu sasa !!?
kazi kuchezea keyboard tu
Unanitafutia ban......!!?Unajikuta mjanjaa...eti jaribu sasa!!?wakati nyumban kwako panya tu unamuita bodaboda aje kumuua...
Then unajitutumua hapa,eti jaribu sasa...
🤔 Ndio mtambo upi huo?wanatuhumiwa kumiliki mitambo ya kufyatua katiba.
Mbona barua Ni ya mwaka 2020
Je ushahidi unasemajeSwali fikirishi!