Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Swahiba hawa maji wataita mma,na msimu ujao timu lao ndio litakua bovu zaidi ya msimu huu,watakurupuka kuacha wacheza hata ambao hawaatahili kuachwa na watasajili ovyo ovyoWanalo mwaka huu Swahiba.
Bayern Munich anachukua Sasa taji miaka 10. Mfululizo
Juve alifika had mara 9
Celtics alifika karibu mara 10
Yaani tutaumia sana ... Historia inaonyesha UFISADI UKITAMALAKI NA YANGA HUWA INAFANYA VIZURI!
Kwahyo unakubali katika hii misimu ijayo pia hamna chenu?Uko sawa mkuu.
Katika nyakati zote ambapo serikali inapigwa,utopolo huwa wanatesa sana.
Kukaba hao wengine hakuna sifa majukwaani. Na yule shida yake sifaKwani Inonga leo hakuwepo?
NisaidieVyovyote itakavyokuwa lakini SIMBA ITABAKI KUWA TIMU BORA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.
Katika hizo mechi 9 za Yanga, 7 ni choka mbaya kwenye msimamo wa ligi.Matches played by both Simba and Yanga are 21.
Yanga points: 55
Simba points: 43
With 9 games to go, the Difference is12 points. This is like saying out of the 9 games: -
1. While Simba wins 5 games, Yanga either has to loose 2 games and draw atleast 3 games (Yanga 58, Simba 58)
2. While Simba wins 5 games, Yanga either has to loose 3 games and draw atleast 2 games (Yanga 57, Simba 58)
3. While Simba wins 4 gamea, Yanga has to loose 4 games as well (Yanga 58, Simba 58)
For Simba to be ontop of/level with Yanga, either 3 of the following has to happen.
Meanwhile, out of the 9 games Yanga needs only 5 wins and 1 draw to win the NBCPL 2022 (Yanga 55 + (15 + 1) = 71 points) cause even if Simba wins the rest of the 9 games (equal to 27 points) the points will be 70 points (43 + 27)
Mkishona sare nyingine,idadi ya mechi kuelekea ubingwa zinazidi kupungua
Anyway, YANGA BINGWA
getafe na Madrid mchezo!!!Bora tu wamesajili wachezaji vimeo sana. Huyu Kocha naye wamemuokota na hana experience ya kubeba kombe sehemu yeyote.
Wapi nimezungumzia kushinda au kushindwa? Nimezungumzia style ya uchezaji. Timu inaweza kufungwa au kutoka sare lakini kila mmoja akaipongeza kutokana na jinsi ilivyocheza. Na hili la kutokuwa na kikosi kinachoeleweka je?Hakuna Timu Duniani inaweza kushinda mfululizo.muda wote ....kumbuka Barca ya kina Messi,Iniesta....Leo Iko wapi,mnawalaumu Simba kwakulinganisha na Yanga,maisha hayapo hivo...Angalia hata Ahly huwa Ina drop na Zamaleck inapanda...muwe waelewa
Simbaya na yanga mganga wao huenda ndio hupanga matokeo kuwa msimu huu ni wa simba hivyo yanga mlegeze au huu ni wa yanga nyie simba mlegeze...mawazo ya kilevi tu [emoji28][emoji28][emoji28]Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa kiwango cha juu sana katika game A lakini ikaja kucheza mchezo mbovu usio mfanowe kwenye game B. Hili ni tatizo.
Kadhalika, katika kufuatilia kwangu soka, sijaona timu kubwa ikicheza kwa style ya Simba iliyotumia mwaka huu, kwamba kwa msimu mzima Simba haina 1st eleven wala supersub. Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, plz chukua hatua au jitafakari. Tuambieni ukweli kuna shida gani hasa. Kama kuna tatizo la kifedha, tuambiwe Ili wanachama/ wapenzi na mashabiki tuchangie. Si ajabu kufanya hivyo.
Hukuendelea kufanya vibaya?Vyovyote itakavyokuwa lakini SIMBA ITABAKI KUWA TIMU BORA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.
Ubora kwa mafanikio yapi waliyoyapata?Vyovyote itakavyokuwa lakini SIMBA ITABAKI KUWA TIMU BORA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.
Tuliwaambia hapa baada ya kutolewa na Orlando ndipo akili zitaanza kuwarudia.Shadeeya njoo uwaone makolo huku washaanza kujua mchele ni upi na chuya ni zipi