Mwenyekiti wa Bodi Simba Jitafakari

Mwenyekiti wa Bodi Simba Jitafakari

Narudia tena weka pale mbele Kibu pembeni peleka Banda magoli yapo mengi tu .
Inaonekana mfumo wa kocha haujaleta matokeo chanya .

Tunaenda kumaliza ligi lakini changamoto pale mbele ni kubwa sana..
 
Vyovyote itakavyokuwa lakini SIMBA ITABAKI KUWA TIMU BORA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.
Nisaidie
Screenshot_20220503-214841.jpg
 
Lkn mimi mwenzenu siamini kama Kocha wa Simba ana uwezo mzuri wa kupanga kikosi
 
Orlando pirates wanamtaka si wawape tu itakuwa wamepunguza mzigo na mashati yake meupe kila mechi.
 
Matches played by both Simba and Yanga are 21.
Yanga points: 55
Simba points: 43

With 9 games to go, the Difference is12 points. This is like saying out of the 9 games: -
1. While Simba wins 5 games, Yanga either has to loose 2 games and draw atleast 3 games (Yanga 58, Simba 58)
2. While Simba wins 5 games, Yanga either has to loose 3 games and draw atleast 2 games (Yanga 57, Simba 58)
3. While Simba wins 4 gamea, Yanga has to loose 4 games as well (Yanga 58, Simba 58)

For Simba to be ontop of/level with Yanga, either 3 of the following has to happen.

Meanwhile, out of the 9 games Yanga needs only 5 wins and 1 draw to win the NBCPL 2022 (Yanga 55 + (15 + 1) = 71 points) cause even if Simba wins the rest of the 9 games (equal to 27 points) the points will be 70 points (43 + 27)

Mkishona sare nyingine,idadi ya mechi kuelekea ubingwa zinazidi kupungua

Anyway, YANGA BINGWA
 
Katika hizo mechi 9 za Yanga, 7 ni choka mbaya kwenye msimamo wa ligi.
 
Hakuna Timu Duniani inaweza kushinda mfululizo.muda wote ....kumbuka Barca ya kina Messi,Iniesta....Leo Iko wapi,mnawalaumu Simba kwakulinganisha na Yanga,maisha hayapo hivo...Angalia hata Ahly huwa Ina drop na Zamaleck inapanda...muwe waelewa
Wapi nimezungumzia kushinda au kushindwa? Nimezungumzia style ya uchezaji. Timu inaweza kufungwa au kutoka sare lakini kila mmoja akaipongeza kutokana na jinsi ilivyocheza. Na hili la kutokuwa na kikosi kinachoeleweka je?
 
Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa kiwango cha juu sana katika game A lakini ikaja kucheza mchezo mbovu usio mfanowe kwenye game B. Hili ni tatizo.

Kadhalika, katika kufuatilia kwangu soka, sijaona timu kubwa ikicheza kwa style ya Simba iliyotumia mwaka huu, kwamba kwa msimu mzima Simba haina 1st eleven wala supersub. Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, plz chukua hatua au jitafakari. Tuambieni ukweli kuna shida gani hasa. Kama kuna tatizo la kifedha, tuambiwe Ili wanachama/ wapenzi na mashabiki tuchangie. Si ajabu kufanya hivyo.
Simbaya na yanga mganga wao huenda ndio hupanga matokeo kuwa msimu huu ni wa simba hivyo yanga mlegeze au huu ni wa yanga nyie simba mlegeze...mawazo ya kilevi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom