Mwenyekiti wa CCM aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo Februari 25, 2026

Mwenyekiti wa CCM aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo Februari 25, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
WhatsApp Image 2026-02-25 at 14.04.06.jpeg

WhatsApp Image 2026-02-25 at 14.04.06 (1).jpeg

WhatsApp Image 2026-02-25 at 14.04.11.jpeg
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
Tatizo la waTanzania linaanzia kwa hawa. Tazama sura za hawa watu na majina yao. Hawa wote watakuwa katika orodha ya watu walioliumiza sana taifa hili.
 
Hapo ni kupongezana tu na kusifiana.
Kiukweli kinyume chake ndiyo sahihi kabisa.

Hakuna roho yenye furaha ya kweli hapo.
Hata ukitazama tu sura zao zinaeleza hali hiyo.

Kuna aliye na orodha kamili ya kundi la uhalifu hili?
 
Hii Ndio Politubro ya Tanzania/CCM?
Naamni katika Ajenda watajadili pia majina mapya kwa ajili ya Ma RC,MaDC,Wakurugenzi wa Halmashauri maana kuna watu wanasubiri MKEKA utoke.

Lakini Pia nafikiri Watajadili kinachoendelea katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa mustakabali wa Amani na muelekeo wa nchi.
 
Back
Top Bottom