The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Kwenye ajenda yao huwezi kukuta wanajadili haki ya kuishi ya Mtanganyikai Utekaji na mauaji are none of their business.
Utatikiri ni wao ndiyo wanaopata maelekezo toka kwa Mafwele na Muliro.
Kwenye ajenda yao huwezi kukuta wanajadili haki ya kuishi ya Mtanganyikai Utekaji na mauaji are none of their business.
Kwa serikali timamu na chama timamu hapa ndio penye wazee wa kumwambia Rais unapotupeleka sio. Ajabu wanabaki kukenua tu na kupongezaUtatikiri ni wao ndiyo wanaopata maelekezo toka kwa Mafwele na Muliro.
Dalali la manunuzi ya silaha na sare za majeshi ya CCM na mbeba mikoba ya Samuya anaitwa Angela Kizigha.View attachment 3548674
Huyu ni nani mbona anajificha 😂
Agenda zao kubwa zinahusu jinsi ya kuhodhi madaraka including kuteka na kuua watu!Kwenye ajenda yao huwezi kukuta wanajadili haki ya kuishi ya Mtanganyikai Utekaji na mauaji are none of their business.
Dalali la manunuzi ya silaha na sare za majeshi ya CCM na mbeba mikoba ya Samuya anaitwa Angela Kizigha.
CCM kwa sasa sio chama ni genge la wauaji.Angela Kizigha nae ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Kama sio, anaingia huko in what capacity?
Angela Kizigha nae ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Kama sio, anaingia huko in what capacity?
Exactly! Ni mkubwa sana kiumri....Shyrose ni mkubwa hata hivyo
Angellah Kizinga. 😂😂😂😂View attachment 3548674
Huyu ni nani mbona anajificha 😂
Ni Shyrose au Asha Rose?Shyrose ni mkubwa hata hivyo
Hata Mimi nawashangaa , itakuwa ni mademu zao hawa majamaa, wameamua kutanianaNi Shyrose au Asha Rose?
Alafu alikuwa anakwepa camera, yupo humo kwenye kikao kama jizi Fulani hivi Yan 😂Angela Kizigha nae ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Kama sio, anaingia huko in what capacity?
Hicho ni kilinge tu, wanawaza kuiba, kuua na kuharibu hawana jema hata moja, hata sura zao zinaonyesha uovu tu.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
Migiro ana miaka 69 unataka aonekane Slay Queen kama mama yako?Dk Asha Rose kawa bibi,Wasira nae kikongwe...duh!