Mr. Hamnazo naye mlisema ni chaguo la mungu, ajabu alipojiondokea kwa kchomwa mbigiri kwenye makagari, mmemnawa. Hata Kubwa Jinga wa enzi hizo naye mlisema ni chaguo la mungu.na hawatokubali mtu yeyote au kikundi chochote kimyumbishe Mh Samia ambaye ni chaguo la Mungu kwa watanzania.....
Source Mwananchi
#MwananchiUpdates
Kwa kweli hii kanda kuna shida mahali. Hivi watu wa kanda ya ziwa tatizo lao ni nini? Mimi huwa siwaelewi kabisa. Yaani unafiki, uuaji, roho mbaya, kuua watu kama akina Mawazo, kuamuru wenzao wapigwe risasi, watu kuswekwa kwenye viroba, kuua albino, yote ni wao. Kuna nini kanda ya ziwa?Hawa wapumbavu wameanza tena ujinga wao. Hivi watu wa hii kanda mnashida gani?
Kwani wananchi ndiyo wameongea ama kaongea kiumbe mmoja tu ambaye ni mwenyekiti wa CCM tu? Usiwahukumu wananchi kwa vigezo vyako vya matukio ambayo huwa yapo mikoa yote ikiwemo uchunaji ngozi kule Mbozi mbeya hakuna mkoa wenye malaika watupu Tanzania hii kila wilaya inao wahalifu wake, Mh Rais Samia kaletwa na mungu kuja kuwatibu watanzania ambao walijeruhiwa na mtukufu magufuli enzi za uhai wake, si ajabu kusikia matamko ya viongozi wa CCM kwani lazima wafanye hivyo kama ilivyokuwa kawaida yao,watanzania tuendelee kuchapa kazi na kumuomba mungu amjalie afya njema Rais wetu aziti kuliongoza Taifa kwa Amani na upendoKwa kweli hii kanda kuna shida mahali. Hivi watu wa kanda ya ziwa tatizo lao ni nini? Mimi huwa siwaelewi kabisa. Yaani unafiki, uuaji, roho mbaya, kuua watu kama akina Mawazo, kuamuru wenzao wapigwe risasi, watu kuswekwa kwenye viroba, kuua albino, yote ni wao. Kuna nini kanda ya ziwa?
🤔wananchi wa Kanda ya Ziwa
Mtu mmoja tena mwenyekiti wa mkoa mwingine ana uhusiano gani na watu wa kanda nzima? Acha kuhukumu watanzania wengi kwa kigezo cha fikra binafsi za kada wa CCMHawa wapumbavu wameanza tena ujinga wao. Hivi watu wa hii kanda mnashida gani?
Falsa ya wanaccm mda wote ndiyo walivyokuwa wao ni watu wa kutengeneza mazingira ambayo hawajawasiliana na munguHata Mwendazake walisema hivyohivyo na zaidi ila leo imekuwa story. Mipango ya Mungu ni tofauti na mwanadamu
huo ndio ukweli,,Hadi #2040 inshallahMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali.
Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza, Mwenyekiti huyo amemuhakikishia Rais kuwa wananchi wa kanda ya Ziwa wako pamoja nae na wana muunga mkono sana na hawatokubali mtu yeyote au kikundi chochote kimyumbishe Mh Samia ambaye ni chaguo la Mungu kwa watanzania.....
Source Mwananchi
#MwananchiUpdates